Hataki turudiane na hataki niwe na mwanamke mwengine

Hataki turudiane na hataki niwe na mwanamke mwengine

Adolf Hitler Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
338
Reaction score
264
MSAADA WAKUU , Kuna mwanamke nili date nae kwa mda mfupi lakini tukashindwana . Sababu ya kuachana ni alikuwa mwanamke mwenye tamaa sana na asiyeridhika na mimi sikuona sababu yoyote kuendelea na mwanamke huyo kwani hiyo tabia ilikuwa inanikera sana.
Ki ukweli tuliachana kwa shali lakini baada ya kumpa makavu pamoja na risala za hapa na pale, Tuka make peace. Ishu imekuja baada ya mda mimi nilivyopata girlfriend mwengine yule ex wangu akaanza vituko akawa anamtishia yule demu akawa akiniambia mimi nikimfata ex wangu anakana baada ya muda yule demu tukaachana akaniambia sabab kuu ni ex. Nilikasirika sana nilivyomfuata yule ex wangu nakumueleza akawa ana cheka nikamtia makofi kadhaa ugomvi ukawa mkubwa mwisho wa sikuu raia zikaamua kwa kuona hali yaweza kuwa mbaya zaidi.
Baada ya kama mwezi Nilipata demu mwingine naye wakati tunaanza tu mahusiano wiki ya kwanza tu ex wangu akaanza mtafuta na kumpa vitisho , Demu akakata mawasiliano na mimi ghafla na namba zake zikawa haziptikani. Kwa wakati huu siku kasirika sana kwan sikuwa serious katika hii relationship.

Demu wa tatu nae nilimpata ikiwa ni kama takribani wiki 6 baada ya kupoteza mawasiliano na aliyepita huyu sasa nilitokea kumpenda kweli , Baada ya miezi miwili ex wangu akaanza tena ule ujinga wake. Demu wangu wa kipind hiki alikuwa very innocent na muoga sana alikuwa akiogopa sana ile mikwala , Baada ya kuwasiliana na ex wangu na kumchimba mikwala akaacha hiyo tabia lakini baada ya mwezi akarudia na sasa akawa ana mtafuta face to face na kumpa hivyo vitisho. Mahusiano na huyu mwanamke yalivunjika baada ya muda sababu kuu ni huyu huyu ex wangu

demu wa nne na wa 5 wote nilikubaliwa lakini mwisho mahusiano hayakudumu kutokana na kutopendezwa na kutokuwa teyari kupambana na vitisho vya ex wangu.
.
KUHUSU EX WANGU:
ki muonekano ni kabinti ka wastani ila ana maneno mengi pia anajiweza financially(fedha za kulisi) na hilo ndio jambo ambalo amekuwa akiwatishia ma ex wangu.

MAHUSIANO YANGU NA EX:
Ni mtoto wa boss wa kaka yangu(Mwanahisa mkubwa) katika biashara ambayo yeye pia ni mwanahisa hivyo ndo maana inakuwa rahisi kwake kupata taarifa ya mahusiano yangu mapya.

KUHUSU KURUDIANA:
Nilishawahi kumjaribu turudiane kwa masharti ya kujirekebisha tabia lakini alishindwa na kwangu moyo wa kuvumilia hizo tabia zake mbovu sina.

NAOMBA USHAURI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom