MAPENZI NI NINI?

MAPENZI NI NINI?

kingMsuya

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
10
Reaction score
2
wengi wamekuwa wanashindwa kujuwaMapenzi nini nakuzani Mapenzi ni ya mke tu lah hasha waweza ita mama yako Mama Mpenzi Mapenzi ni hisia lakini tukumbuke Mungu ndio mwanzilishi wa Upendo na twatakiwa kuomba Mapenzi yake yatimie kwetu Hisia ndizo husababisha nakukolea mpaka kuitwa Mapenzi. Mapenzi Mapenzi Mapenzi Tupendane
 
ndo ushamaliza kuelezea kuhusu mapenzi
 
Kweli Mkuu sisi kama binadamu yatupasa kupendana na kusaidiana kwa kila jambo.
Mkuu una 5000 hapo ambayo haina kazi?
 
Back
Top Bottom