Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

%"NGUVU YA KITANDA" % Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa...
8 Reactions
35 Replies
6K Views
Ananisumulia shoga yangu tukiwa kwenye "ulabu" yaliyomkuta. Anasema kuna bwana alikuwa anamtaka awe rafiki yake kimapenzi lakini sasa tongozo za yule bwana zimemfanya amfyekelee mbali hataki hata...
17 Reactions
172 Replies
22K Views
Natafuta mwanamke wa kuoa. Kwanza awe na vigezo vifuatavyo. 1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa. 2. Awe mkweli 3. Muwazi 4. Anajali 5. Umri 20 hadi 24 Umri wangu ni...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. Alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
With the increasing cost of living, many families homes can no longer rely on a single income so both men and women have to work – often out of the home. Thus, house helps have become a necessity...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Love is not a feeling or an emotion! Its is AN EXPRESSION OF ALL OTHER EMOTIONS IN A SINGLE WORD. in the same way if you say you love someone,its not love ,its all mixed emotion like...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Nimekaa nikawaza miaka na miaka kwanini sipati kazi nanikipata sidumu nimejaribu kujua nini tatizo sijaona ila kweli na shida kuolewa tabu madharau sina naheshimu kila mtu na pia sinaga ugomvi...
4 Reactions
253 Replies
25K Views
Huu Mchezo usiuchezee wewe.. Hizi mambo za kukosea namba zipo sana, na wengine wameoa na kuolewa na wakosea namba (snipers)[emoji16][emoji16]. (A) Basi bwana siku nime relax pahala. Mara ghafla...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni muda kidogo umepita nilikua na mahusiano na mdada mmoja. Baadae nikachunguza kumbe alikua ni mchumba wa mtu nikampotezea mdogo mdogo. Juzi juzi baada ya kumaliza chuo ndo akafunga harusi, cha...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Ukengeukaji maana yake Rahisi ni kuacha njia ipasayo au kukana lile kusudio lililolengwa iwe kiimani ama patano flani utaona kimandiko mke ni Msaidizi ukiwa msaidizi unatakiwa uifahamu kazi vizuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukum ya kitaifa..Niende moja kwa moja kwenye mada yangu familia y2 tumezaliwa watoto wengi Kidogo lkn hatuchangia wote baba na mama mmoja kutokana na hali hyo wengine tukajikuta...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nyie wanaume mlioko huko daslama mnaosema mabinti wazuri, wenye mapenzi ya dhati na mabikra eti wameisha hivi mmeshawahi kuitembea hii nchi kweli? Aisee watoto wabichi bado wapo bana, huku niliko...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
KUCHEPUKA HUANZIAGA MBALI SANA kile kitendo cha mwisho unachokiona au kusikia juwa safari ilianzia mbali sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadada wa hapa JF, Hatimaye nimeamua kujimwaga kwenu. Niko tayari kujikabidhi nivurugwe kimapenzi na mdada wa nguvu! Mimi ni mwanaume na ninafanya kazi nzuri tu. Napenda binti mchangamfu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wapendwa, Mimi sio mhuni wala sijawahi kuwa mhuni. Hivyo napenda kusema kuwa niko seriou na ninachosema. Nataka kuwa na urafiki tu na sio vinginevyo na binti wa chuo anayemalizia mwaka wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa saa 2 kuanzia sasa nitasikiliza na kutoa ushauri kwenye masuala mbalimbali yahusuyo mahusiano. Hapa kwenye thread hii na PM. Karibuni wale walio serious
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wanaume mlio oa, Nina kaswali kadogo tu Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanawake mfute hii kauli mara moja. Hivi mnajua Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu? Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kamsemo tunakasemaga kwamba tutaona mengi mwaka huu.sasa mwaka huu kweli tumeyaona. Neno WANAUME WA DAR vs wa mikoani Ukiwa wa dar ni shida haha..aya uzuri...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom