RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Mara nyingi Gari za Sement zikianguka watu hukimbilia kusomba mifuko ya sement kabla hata ya kuokoa majeruhi... hivyo hivyo Gari la Bia likianguka wanasomba kreti za Bia hata kama dereva amebanwa na usukani.. Gari la mafuta likianguka kama kawaida wanasomba Mafuta na madumu... je vipi kuhusu hilo Gari la jeshi tulilosikia limepata Ajali na kumwaga korosho barabarani?... mmesomba Vindoo vingapi mpaka sasa watanzania Wenzangu?