Wanaume tafuteni maneno mazuri ya kutongozo

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,971
35,113
Ananisumulia shoga yangu tukiwa kwenye "ulabu" yaliyomkuta.

Anasema kuna bwana alikuwa anamtaka awe rafiki yake kimapenzi lakini sasa tongozo za yule bwana zimemfanya amfyekelee mbali hataki hata kumuona wala kumsikia. Anasema maneno ya bwana yule kwenye mtongozo yalikuwa:

1. Fulani naomba Unilee
2. Fulani mie tulizaliwa pacha watatu hivyo maziwa ya mama yalikuwa hayatoshi kutunyonyesha sehemu kubwa tumekuzwa kwa maziwa ya kopo na ng'ombe, hivyo naomba ninyonye ziwa lako...
3. Naomba basi unipatie mambo

Kanungila Karim njoo ushukuru wa taarifa. hahahahah
 
Ukitaka kujifunza kutongoza fuatilia mikutano ya kampeni.Tumia formula wanayotumia wanasiasa kuwatongoza wananchi wawape kura.

1.Sifia
2.sifia za uongo zenye ukweli kidogo lakini zenye kufurahisha masikio na moyo
3.Toa ahadi kedekede zinazotekelezeka
4.Toa ahadi za ziada ambazo uwezekano wa kutekelezeka ni mdogo/za kufikirika lakini zenye kuvutia masikioni.
5.Tumia lugha laini na maneno matamumatamu tu
6.Kuwa mtanashati na nukia vizuri.wengi hawajui nguvu ya kupendeza na kunukia vizuri.Say no to cheap colognes,mjanja mzima utapakaje pafyumu ya alfu 5-10,?.

Vyakuepuka

1.Epuka Kujisifia sana kwa mpiga kura wako,be subtle

2.Usitumie nguvu nyingi kukandia wagombea wenzio.

3.Usitumie nguvu nyingi,dont apear too desperate,make it look easy
 
Maneno kuntu
 
Back
Top Bottom