Ushauri kwenye mahusiano

Ushauri kwenye mahusiano

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Kwa saa 2 kuanzia sasa nitasikiliza na kutoa ushauri kwenye masuala mbalimbali yahusuyo mahusiano. Hapa kwenye thread hii na PM. Karibuni wale walio serious
 
Mkuu unamshauri vipi mtu ambae anapenda mambo ya 6 kwa 6 yaan akipitisha saana siku1 alafu wakati huo huo mke wake au mpenz wake yeye anamwambia angalau hata after 3days

Je atafute mchepuko ili asikwazane na mpenz au mke wake?
Nb.yaan hata awe kachoka vipi lazma anataka KUFANYA sasa unamshauri vipi au n tatizo hilo?

Kupenda kufanya mapenzi sana ni addiction ambayo kama unaamua kuimaliza inawezekana. Kikubwa ni kukubaliana na mwenzi wake na kupangiana ratiba ya lini wanataka kufanya. Kwasababu hamu ya kufanya mapenzi inakuwa akilini zaidi basi ni rahisi kuicontrol akili yako huku ukijitahidi kuepuka vitu vinavyokupa Hamada ya kufanya ngono
 
Mwanamke apewe nini ili adumu kwenye mahusiano.!?

Ukimpata mwanamke anayekupenda Wala hutampa kitu na bado atadumu kwenye mahusiano. Kama hakupendi hata ukimpa roho yako bado ataitupa na kuondoka. Kwa lugha rahisi ni kusema “Mwanamke/Mwanaume atadumu kwenye mahusiano kwasababu yeye mwenyewe anataka kudumu sio kwa kupewa chochote”
 
Back
Top Bottom