Nahitaji binti wa kunichanganya Kimapenzi !!!

Nahitaji binti wa kunichanganya Kimapenzi !!!

daima17

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
15
Reaction score
10
Wadada wa hapa JF,

Hatimaye nimeamua kujimwaga kwenu.

Niko tayari kujikabidhi nivurugwe kimapenzi na mdada wa nguvu! Mimi ni mwanaume na ninafanya kazi nzuri tu.

Napenda binti mchangamfu lakini pia anayejua mipaka yake. Kama ni wewe, mbona unachelewa?

Njoo PM
 
Mkuu kama kuvurugwa ukipata kichaa atakuvuruga vya kutosha. Safari njema bro kwa maamuzi magumu
 
Wadada wa hapa JF,

Hatimaye nimeamua kujimwaga kwenu.

Niko tayari kujikabidhi nivurugwe kimapenzi na mdada wa nguvu! Mimi ni mwanaume na ninafanya kazi nzuri tu.

Napenda binti mchangamfu lakini pia anayejua mipaka yake. Kama ni wewe, mbona unachelewa?

Njoo PM
Nahisi utakuwa ni Marketing Manager, maana siyo kwa kujipa promo namna hiyo.
 
Unataka kuvurugwa alafu hapo hapo unataka mtu anaejua mipaka yake?

Ukivurugwa usisahau kuleta mrejesho.
 
Unataka kuvurugwa benki account au wallet yako? Wanawake wa kibongo mapenzi hawayajui lakini hela wanaijua vizuri.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
hivi huko PM ni wapi? mimi nina kiu kweli ya bia,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom