Je! umeshawahi kosea kupiga/kupigiwa simu na (ME/KE) Ikawaje?

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Huu Mchezo usiuchezee wewe..
Hizi mambo za kukosea namba zipo sana, na wengine wameoa na kuolewa na wakosea namba (snipers).

(A) Basi bwana siku nime relax pahala. Mara ghafla namba ngeni ikajaa kunako Mobiteli yangu.. ile kupokea nasikia sauti mlemda (laini) mazungumzo ya hapa na pale nikajua tu kakosea namba, ila tamaa tamaa zangu nami nikakazia humo humo, at last nikaja kula ile chalii ya Songea..

(B). Ila hii niliingia choo cha watoto (nilinyea Pot).
Jamaa lipo muleba huko limekazana kunipigia namuelekeza umekosea namba, ila jamaa kakomaa na mimi kuwa NAMPANDA wife wake na Atanionesha.duh kila nikipangua shutuma jamaa kakaza.sasa mimi Mbeya na muleba wapi na wapi..?? Nikaona sio Kesi nilimblock na habari ikaishia hapo..ni miaka miwili sasa sijui bado anataka nionesha au vipi(mshana nichekie katika rada yako mkuu).....

Vipi huko kwenu wana nzengo..
 
Mimi kuna siku imeingia namba mpya napoke yule mdada sijui anaongea lugha gani ila nakumbuka alisema yupo Songea. Yaani napokea yeye anaongea tuuu kama dakika 1 sasa sijui amesema nini nimebaki kusema umekosea namba anazidi kubwatuka na kilugha aiseee nilikata tu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
ungekomaa nae
Mimi kuna siku imeingia namba mpya napoke yule mdada sijui anaongea lugha gani ila nakumbuka alisema yupo Songea. Yaani napokea yeye anaongea tuuu kama dakika 1 sasa sijui amesema nini nimebaki kusema umekosea namba anazidi kubwatuka na kilugha aiseee nilikata tu.

Ndukiiiii
 
kun amichalii inazingua inakosea namba kila mara...halafu inaongea kilugha..unamwambia umekosea mi sielewei hiyo lugha mara unajifanya hujuiki...lugha siitaji msije sema tunalionea hili kabila kwa suahmba...

all in all nishajifanyaga nimekosea namba kumpigia manzi fulani...in the end katoka kibaha kaja dar nkagegeda mpaka sasa ni close buddy yani friends with benefits..migegedo
 
Ohooo. DODO for free

Alikosea namba; akawa ananitukana eti namfundisha mme wake tabia mbaya! Nikamweleza kuwa kakosea namba yeke kaendelea kunikomalia ...
Siku ya siku nikamuita aje ofisini wakati nafunga ... kweli akaja! Ilibidi atumike ... na kiukweli alikuwa anayaweza!
 
Back
Top Bottom