Binti wa Chuo aliye mwaka wa Mwisho anahitajika!!!

sambara

Member
Apr 24, 2013
17
3
Wapendwa,

Mimi sio mhuni wala sijawahi kuwa mhuni.

Hivyo napenda kusema kuwa niko seriou na ninachosema. Nataka kuwa na urafiki tu na sio vinginevyo na binti wa chuo anayemalizia mwaka wa mwisho. tukipendana basi tutaoana baadaye.

nasisitiza simaanishi umalaya au ufuska.

Asante.
 
Mkuu una gundu au vipi? Tangu 2013 bado unatafuta mke jf?

Natafuta mke mwema - JamiiForums
 
Wapendwa,

Mimi sio mhuni wala sijawahi kuwa mhuni.

Hivyo napenda kusema kuwa niko seriou na ninachosema. Nataka kuwa na urafiki tu na sio vinginevyo na binti wa chuo anayemalizia mwaka wa mwisho. tukipendana basi tutaoana baadaye.

nasisitiza simaanishi umalaya au ufuska.

Asante.

Bila shaka unataka umsaidie kufanya ' Research ' yake Mkuu huku taratibu pia mkiwa ' mnabaiolojiana ' kwa raha zenu na utamu kunoga au?
 
Wapendwa,

Mimi sio mhuni wala sijawahi kuwa mhuni.

Hivyo napenda kusema kuwa niko seriou na ninachosema. Nataka kuwa na urafiki tu na sio vinginevyo na binti wa chuo anayemalizia mwaka wa mwisho. tukipendana basi tutaoana baadaye.

nasisitiza simaanishi umalaya au ufuska.

Asante.
huyo bado wazazi wanamuitaji
 
Kuna ndugu yangu ni mrembo yupo mwaka wa mwisho amazoni college. Full secretarial course.
Vip nkuunganishe?? Au umemaanisha chuo gan
 
Back
Top Bottom