Nani kasema wanaume hatujui uchungu wa kuzaa

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Wanawake mfute hii kauli mara moja.
Hivi mnajua Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu?
Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho cha Maumivu ni sawa kabisa na mivunjiko 20 ya mifupa katika mwili kwa Muda mmoja.
Lakini Mwanamme akipigwa kwenye
KORODANI hupata maumivu zaidi ya 9000 del ambayo ni sawa na maumivu ya Kuzaa watoto 160, ambayo ni sawa na kuvunjika Mifupa 3200 ya mwili kwa wakati mmoja.
Nasema Nani anasema Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa.??

Note: hakuna mwanaume anaeweza kutamani kupigwa tena KORODANI zake, hata iwe bahati mbaya
Ila mwanamke yupo tayari kuzaa bila limitations bila kujali maumivu ya awali.

Tupate tangazo kutoka kwa wadhamini
IMG-20181117-WA0003.jpeg
 
Tupate tangazo kutoka kwa wadhaminiView attachment 943071
Mkuuu... Kwamba na wewe unataka ujaribu kutonota watoto auu??!!
 
sawa boss
Hapana mkuu..tunaongelea kiasi cha Maumivu
Ila inasemekana akina mama yale maumivu ya uchungu wakati wa kuzaa huwa wana exaggerate sana inawezekana kabisa maumivu ya kugongwa kwenye mbupu ni makali zaidi aisee maana mtu unaweza kuzimia kabisa
 
Unaona mwenye korodani mwenzio akishangaa mwanamke anayepata maumivu Kama ya kupigwa teke kwenye korodani :confused::confused::confused::confused::confused:

images.jpg
 
Wanawake mfute hii kauli mara moja.
Hivi mnajua Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu?
Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho cha Maumivu ni sawa kabisa na mivunjiko 20 ya mifupa katika mwili kwa Muda mmoja.
Lakini Mwanamme akipigwa kwenye
KORODANI hupata maumivu zaidi ya 9000 del ambayo ni sawa na maumivu ya Kuzaa watoto 160, ambayo ni sawa na kuvunjika Mifupa 3200 ya mwili kwa wakati mmoja.
Nasema Nani anasema Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa.??

Note: hakuna mwanaume anaeweza kutamani kupigwa tena KORODANI zake, hata iwe bahati mbaya
Ila mwanamke yupo tayari kuzaa bila limitations bila kujali maumivu ya awali.

Tupate tangazo kutoka kwa wadhaminiView attachment 943071
Zaa kwanza ndio ufananishe maumivu
 
Back
Top Bottom