Anna pita
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 227
- 430
Kwa wanaume mlio oa,
Nina kaswali kadogo tu
Mfano ukiwa senti 50 ikatokea ...Dada ako au ndugu yako yoyote tu akawa na shida na hiyo 50 at the same time mke wako nae akapata shida inayoitaji iyo 50 utampa nani?
Au
Ikatokea ndugu yako mgonjwa na mkeo mgonjwa we upo mbali nao utenda kumsalimia nani? Au
Una kitu haukitumii akaitaji mkeo na ndugu yako yoyote utampa nani?
Naomben mnisaidie majibu nyie mlio oa