MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Yaani mapenzi kitu cha ajabu sana unaempenda kakupendi, nae anampenda mtu mwingine ambae nae hampendi, circle hii ni hatari sana .
Dah, yaani acha tu aseeYaani Mapenzi Kitu Cha Ajabu Sana. Unaempenda Hakupendi, Nae Anampenda mtu Mwingine Ambae Nae Hampendi, Circle Ya Kifala Sana Hii
Huko ni kupotoshana aisee, komaa na unachokiamini mkuuAcha kupenda mkuu, penda chura na mbunye mapenzi hayatokuzingua
Umesema kitu cha kweli kabisa.Yaani mapenzi kitu cha ajabu sana unaempenda kakupendi, nae anampenda mtu mwingine ambae nae hampendi, circle hii ni hatari sana .