Dah wanawake mnanini jamani?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Nawaza sana kila daily wale wanawake wanaojitoa muhanga kwa wanaume .
Kuna msichana anaumri mkubwa .
Huyo dada hajawahi kuingia sana kwenye mahusiano so yupo makini.
Alitafuta hela akapata ila mume ndio shughuli kwao nao wanazo.
Familia ilikuwa inamsisitiza aolewe kwa maana yeye ndio kabaki wadogo zake wameolewa
Sikumoja alikuwa disco na wenzie akapendwa na mkijana mtanashati tu nilidhani upstairs anazo.
Kumbe ni golddigger pepo kabisa .
Kamfanya mdada wawatu karibia nyumba ya mzee wake iuzwe sio hilo tu napia kamfilisi kiasi fulani huyo binti.
Why nyumba ilitaka kuuzwa alimdanganya wakakope hela after that jamaa akamuacha na madeni.
Sasa maisha ya huyo demu yapo hatiani.
Naameomba wenzake na watu wake wazamani.
Wailipe benki ili arudishiwe mzee nyumba yake.
WHY WANAWAKE BUSTANI YA EDENI MWANAMKE YAANI KILA MAHALI NI SISI WHAT IS THIS.
Juzi hapa baba wa msichana alimpeleka mwanae mahakamani.
Kwa maana anataka benki wasiuze nyumba na amempeleka kama watuhumiwa wengine kwa kufogi sign ya mzee na hati miliki ya hiyo nyumba bila ridhaa yake.
Huyo mudada sijui atafanyaje maana hajapata zote mpaka sasa kapata 20ml maana ilikuwa ml. 33.
Mama wa huyo msichana anakusanya bado deni .
Mpaka sasa amepata ml 7 sijui kama atamaliza ila mzee amemtenga kabisa mwanae hataki kumsikia.
Huyo msichana anashikiliwa napolisi kama most suspect wa tukio hilo.
Mpaka sasa nawaogopa smart men nyie niwakuangaliwa kwa makini.
 
Mchagua nazi hupata koroma,

Mtu anayechukua muda mwingi akichagua nazi nzuri,mwishowe hupata nazi mbovu.
 
Wewe na yeye muache kudanga
 
dyudyu ikiwakoleaa upate mwanaume mwenye huruma na wew tu na anejielewaa... Huwa mnapagawaa kabisaa unawezaa uza hata nyumbaa kabisaa!
 
Sio kila mwanaume anatunza familia asilimia kubwa anatunziwa na wadada au wamama so becareful.
Wadada ni muda wakujiheshimu nakuona kuchapwa ni kawaida tu kwa maisha ya wajameni.
Kuweni hodari acheni uboxi.
Maisha ya sasa hali ni tete.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom