Sifa zote anastahiki Allah S.W
Napenda nimshukuru yeye kwa neema kuu aliyonijaalia mpaka kunifikisha wakati huu wa Leo March 10 kujifungua salama mtoto wa kiume
Niwashukuru Madaktari na manesi...
Kuchapwa sio kwa kiboko tu, hata kwa maneno unaweza kuchwapwa na ukayasikilizia/ukayahisi maumivu barabara.
Siku hizi kuna mtindo wa kuweka status za WhatsApp ambazo kwa namna moja au nyingine...
Habari wana JF,
Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke...
Habari wana JF, hope mko poa na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku.
Humu kuna watu tofauti tofauti walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, ama ya upenzi bubu, uchumba hata wanandoa.
Kwa...
Wanaume wa KIKRISTO:
Patrick / Patrice
Frank
Charles
James
Edward
Walter
Christopher
Wanaume wa KIISLAMU:
Suleiman
Mohamed
Abdallah
Said
Seif
Ramadhan
Hussein...
MMU mupooo!!
Hivi wanawake wanapenda nini hasa. Nitakuwa wa mwisho kuamini wanawake wanapenda hela kutokana na tabia wanayonionyeshea. Mimi ni kijana wa umri wa kati. Sina pesa, sina gari wala...
nimekua nikihitaji mpenzi wa kweli ambaye tunaweza kubadilishana mawazo mbalimbali kuhusu haya maisha yanavyokwenda .
Nilitokea kumpenda dada mmoja ambae nilibahatika kupata namba zake...
1. Unaongea nae huku sikio moja kaweka earphone..
2. Unamtumia Meseji SAA mbili asubuhi anakujibu SAA mbili usiku..
3. Ukimsaidia hakushukuru..
4. Mpaka umbembeleze, hata kama unataka kumfanyia...
Natamani sana niwajue kisha niwasifu kwani wamepata bahati ya kuwa na Wake / Wapenzi makini, mahiri na werevu ambao siyo wa mchezo mchezo na kama Mwanaume hujitambui na ni ' goi goi ' basi Kuishi...
Na Sir Taylor.
Habari wadau,
Leo ningependa tuzungumze kidogo kama kichwa cha mada yangu kinavoeleza.
Katika swala zima la mahusiano hasa ya kimapenzi kuna vitu vinne ambavyo vyote kwa pamoja...
Natafuta rafiki wa kike anayejitambua,umri miaka 20 mpaka 32. Mimi nina miaka 33,nimeajiriwa na naendesha maisha yangu kawaida. Urafiki huu utatupeleka kwenye mahusiano ya kudumu pale...
Hii nawausia wanaume wanaotumia muda mwingi kusogoa na kuongea na akina mama/dada hasa maofisini nk huo ni umama....mara nyingi huwa na nyie mnageuka kuwa na tabia za kimama kwani lazima...
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...
Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa...
Habari zenu wakuu
Straight to the point,miaka miwili iliyo pita nikiwa nafanya kazi moja kati ya mikoa ya kanda ya ziwa nilikua na mtoto mmoja ambaye tulifahamiana kwa njia ya mitandao ya kijamii...
Katika hali ambayo ni ya kusikitika na pia ni laana kwa aliyemtendea, Dada mmoja hapa Buguruni ametaka kujinyonga baada ya kidume mmjoja kuweza kumhadaa kwa muda mrefu huku akijifanya ni mlokole...
Nimeelewa kwanini ma askari wanawezana wao kwa wao, sisi raia hatuwawezi.
Huyu askari nilikutana nae asubuhi wakati naenda kwenye interview ya power break fast ya clouds fm kwaajili ya moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.