Tuliowahi kupewa ahadi fake tukutane hapa

Tuliowahi kupewa ahadi fake tukutane hapa

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
695
Reaction score
878
Nyakati fulani kitambo nikiwa kijana mdogo niliwai kuwa ktk mahusiano na binti niliempenda kwa dhati mpaka kufikiria kufunga nae pingu za maisha pale ambapo Mwenyezi Mungu akiniimalisha kiuchumi,nilipokua nikiishi na mpenzi wang yule ni kama km 360 tukiwasiliana kwanjia ya simu na mitandao ya kijamii.Kadri siku zilivyokwenda mchumba akaanza kubadilika nikimpigia simu ipo busy anitafuti mpaka nimtafute,siku moja nikaamua kufunga safari kumfata bahati mbaya hatukufanikiwa kuonana baada ya kugoma kupokea simu zangu nikaamua kurudi nilipotoka,siku moja natizama facebook nikakutana na picha ya jamaa na caption kibao "may babe","sweetie","mume" n.k huo ndio ukawa mwisho wetu.
 
Bado nafikilia kitu ila nitakuja na ushuhuda very soon. Maana nasubiri ruhusa ya dada yangu NAHUJA
 
Na tuliowahi kutoa ahadi fake tunaruhusiwa kupost humu.??
 
Ahadi za JF ndio hatari zaidi unazopewa ww ndio wanapewa wenzio 10 PM
 
Mm niliwahi muahidi moneypennny Benz SLR nangoja na yy aje hapa
 
Back
Top Bottom