Chakula cha Jioni.

Chakula cha Jioni.

amatolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
690
Reaction score
714
Niende moja kwa moja kwenye maada.

Mwenzenu nimekubwa na tatizo moja kubwa sana, hali hii inaathiri mpaka utendaji wangu wa kazi. Nina tatizo moja kubwa sana kila siku ikifika mida ya kumi jioni huwa naanza kukiwaza chakula cha nyumbani kwangu, huwa natamani kuondoka ofisini muda huo ilimradi tu jioni niwepo nyumbani ili nile, hasa pale napowaza kuwa "BILA SHAKA LEO KUTAPIKWA WALI na MAHARAGE/NJEGERE" mwenzenu huwa nashindwa kutulia kabisa. Nifanyeje kuepukana na hali hii???
 
Limbwata mkuu huchomoki hapo aisee , ushatengenezwa tayari
 
Daaaah nasikitika sana

Sasa unataka tukushauri nini haswa mana hali unayo wewe sisi inatuhusu nini na chakula ni chako
 
Niende moja kwa moja kwenye maada.

Mwenzenu nimekubwa na tatizo moja kubwa sana, hali hii inaathiri mpaka utendaji wangu wa kazi. Nina tatizo moja kubwa sana kila siku ikifika mida ya kumi jioni huwa naanza kukiwaza chakula cha nyumbani kwangu, huwa natamani kuondoka ofisini muda huo ilimradi tu jioni niwepo nyumbani ili nile, hasa pale napowaza kuwa "BILA SHAKA LEO KUTAPIKWA WALI na MAHARAGE/NJEGERE" mwenzenu huwa nashindwa kutulia kabisa. Nifanyeje kuepukana na hali hii???
mawazo kama hayo yakikuijia tena ww yahamishie kwny konyagi au K vant,hayaji tena
 
Niliwazaaaa Mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Daaaah nasikitika sana

Sasa unataka tukushauri nini haswa mana hali unayo wewe sisi inatuhusu nini na chakula ni chako
Uko sawa mkuu, tatizo ikifika saa kumi naanza kuwaza msosi wa hme, hii hali huwa ikianza kazi ndo basi tena
 
Kuna kitu anaweka
labda kina madhara au hakina ila anaweka
najua hautatuelewa

mi nilifikiri chakula ya wakubwa
 
Niende moja kwa moja kwenye maada.

Mwenzenu nimekubwa na tatizo moja kubwa sana, hali hii inaathiri mpaka utendaji wangu wa kazi. Nina tatizo moja kubwa sana kila siku ikifika mida ya kumi jioni huwa naanza kukiwaza chakula cha nyumbani kwangu, huwa natamani kuondoka ofisini muda huo ilimradi tu jioni niwepo nyumbani ili nile, hasa pale napowaza kuwa "BILA SHAKA LEO KUTAPIKWA WALI na MAHARAGE/NJEGERE" mwenzenu huwa nashindwa kutulia kabisa. Nifanyeje kuepukana na hali hii???
Kwani ulitaka kula wapi chalula cha jioni?!
 
Back
Top Bottom