Tanzania inaongoza Duniani kwa wanawake vicheche

Tanzania inaongoza Duniani kwa wanawake vicheche

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
Kwa mujibu wa jarida la Finland lililofanya uchunguzi kwa nchi zaidi ya 148 Duniani, (Dunia ina nchi 245) Tanzania imeibuka kidedea kwa kuwa na idadi kubwa ya wanawake vicheche,mapepe hadi wapepewe,huku India ikishika nafasi ya kwanza kwa wanawake waliotulia kitabia.
Jarida hilo limedai kuwa ni Tanzania ambako mke wa mtu anaweza kuwa na mahawara watatu au zaidi na bado mume akaachwa solemba asijue kama mkewe ni mapepe aliyetukuka.
Jarida hilo Iimezidi kudai kuwa ni kawaida mno kwa Tanzania kukuta mwanamke ana watoto sita au zaidi na kila mtoto ana Baba yake tofauti na mataifa mengine Duniani ambako hutokea mwanamke kuwa na watoto wa Baba tofauti lakini si idadi kubwa kama ilivyo Tanzania.
Ni kawaida mno kuwaona,akina Jenn, Mwanamkasi,Aisha,Miriam,Celina wakiwa na watoto watatu au zaidi na kila mtoto na Baba yake,hao utawaona wakiwa ktk umri mdogo tu wa miaka 30 lakini utadhani wameishi miaka 90 na ni wajuaji wa kila kitu Duniani.
Msinipopoe mawe mimi nimenukuu tu hizi Habari kutoka jarida la Iska la nchini Finland, link inagoma Ku download nitawawekea msome wenyewe.
Mjumbe hauawi,message sent,delivered,accepted and appreciated.
 
Si kweli adithi za alfa ulela hizo tz bado wanawake wake wanajiheshimu tu sana huko dunia ni shida jaman.. Hapo uganda au South Africa ni balaaa... Ndio maana wanaisha na HIV... Sisi bado kabisa.
 
Tuwekee Link " kwanza " Tukajionee wenyewe huo utafiti " ijapokuwa najionea mwenyewe kabisa kuwa " huo utafiti una vijinasaba vya ukweli mkubwa tu ..

Bongo nyoso ".. niliwahi kuwa na mchepuko ni mke wamtu ".. dada wawatu nimtumlivu mtu wa dini asikwambie mtu" .. basi ikatokea nikapata safari ya kusafiri nje ya nchi " huku nyuma siakajiongeza nakumpa papuchi kaka yangu "..

.. nilipokuja kujua wala siku mind wala " nilichikufanya nikampa risala tu kwamba ajitahidi kuificha hiyo siri watu wasiijue "maana watu wakijua watumvunjia heshima kaka yangu na yeye pia " kwakuwa wao wote ni watu waliopo katika ndoa "...

na mpaka leo hii kaka yangu hajui " kwamba nimeshajua kuwa alinichapia mchepuko wangu " nacheka nae fresh tu michapo kwa kwenda mbele " maisha yanasonga ..
 
Kuna siku nipo kwenye mwendokasi kivukoni anapanda dada mzuriii mwenye vigezo vyote vya watoto wa mjini. Nakaa nae siti moja, anatoa simu anafungua tinder app anachat na "wateja", nilichoka nikasema kumbe watu wapo "sokoni" bwana. Unaweza tongoza dada mzuri mtaani kumbe kwenye "ulimwengu nyinginezo" ni "kicheche cha haja".
 
Utafuti ulifanyika dar na viunge vyake

Wakatika hapo wakaangukia singida then manyara unategemea nn hapo?
 
Si kweli adithi za alfa ulela hizo tz bado wanawake wake wanajiheshimu tu sana huko dunia ni shida jaman.. Hapo uganda au South Africa ni balaaa... Ndio maana wanaisha na HIV... Sisi bado kabisa.
Ushaambiwa wanafanya kwa siri, mke wa mtu ana vinega wanne watano na hamjuani wala mme hajui..... kuna kaukweli kiasi humo.
 
Bongo ni kitu cha kawaida kabisa mtu mmoja "mjanja" kuanzisha uzi na kujitapa fundi wa kutafuna wake za watu, na atasema urahisi wa kuwapata hao wake za watu.... leo unaletewa "utafiti" kama huu watu wanapinga...!!
 
Back
Top Bottom