Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Wengi mliondoka utawala wa awamu ya pili. Baada ya mzee Ruksa kuruhusu kila kitu ruksa watu Walianza kushika pesa na na pia kugundua kuwa passport yetu ilikuwa visa on entry kwa nchi karibu zote ukiondoa Israel na South Africa.
Wengi mlijilipua Kinyarwanda Kisomali na wengine kuoa na kuolewa na wazungu. Yote ilikuwa harakati za kutafuta makarasi na wengi hawakukumbuka shule waliendeleza box na miaka ikakimbia
Wengi wenu sasa mko kwenye late 40’s - early 50’s. Ni hivi:
Kama hujajenga nyumba nyumbani wakati wa kununua kiwanja ni huu wa utawala wa awamu ya tano. Milioni 5 unapata kiwanja.
Kama hujajipanga vizuri kuwa na pension ya uhakika huko ulliko inayoweza kukupa milioni 1-1.5 au zaidi ya hapo, na nyumba huna nyumba ni bora ukomae huko huko Ughaibuni.
Gharama za matibabu ziko juu mno nyumbani na quality haitakuwa ile uliyoizoea. Ukiwa na pesa ni habari nyingine utaruka South Africa.
Kwa wale wa kupombeka Fosters na kangara ni tofauti sana. Utaitwa mzee wa mataptap 😂