Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
Habari wana jamii! Sasa hivi kumeibuka lindi la wanandoa wengi kuachana. Kuna jamaa yangu aliachana na mkewe jamaa akaondoka kwa hasira bila kuchukua cheti chake cha ndoa. Baada ya Muda jamaa akafikiria kuanza process za Talaka. Wakaitwa na mkewe kwa mahojiano, jamaa kaulizwa cheti akasema nilikiacha nyumbani mkewe ndo mtunzaji. Kuuliza mkewe akadai vyeti hajui vilipo hivyo shauri lao limehairisha mpk walete vyeti. Wanawake siku hizi wanaficha vyeti ili kesi za kutalakiana isifanikiwe. Wanaume jaribuni kuviscan na kuvisave kwenye mtandao hii itapunguza usumbufu.