Kuna uhusiano gani kati ya hisia kimatendo kwa watu waliodumu muda mrefu kwenye mahusiano au ndoa??

chlorine gas

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
2,490
2,574
Habari zenu wakubwa,,
Ni hvi ,mwaka jana kuna mzee fulan aliwahi kunihadithia kisa kimoja cha ukweli kilichotoakea maeneo fulan hapa dar,kua kuna jamaa alikua ameoa mke wakafanikiwa kupata watoto wawili kwa kua jamaa alikua kwenye kampuni Fulani ya ulinzi alikua anaspend muda mwingi job haswa shift za ucku.sasa kumbe kipindi jamaa anakua shift mke wake alikua anaingiza kidume ambae alikua anaishi maeneo yale jamaa alipopanga, kile kitendo jamaa alikua hajui ila hisia zake zilikua zikimwambia kua akiwa lindo especially shift za usiku mwanamke wake anaingiza kidume ndani hii ilikua ikitokea Mara nyingi.yule mzee aliendelea kunihadithia kua cku moja jamaa akiwa lindo usiku roho Yake ilikua inanyong'onyea hana amani akamwambia mlinzi mwenzie alikua nae lindo kua ''Leo mke wangu ananisaliti'' mshikaji wake akamuuliza umejuaje ? Jamaa akamjibu roho yangu hainipi na haitulii kabsa kuna jambo linaendelea kwangu,akamwomba mshikaji wake awe anapiga doria mpaka kwenye kituo alichokuwepo yeye anaenda Mara moja kwake,jamaa aliondoka eneo LA lindo kuelekea nyumbani huwezi amini alipofika kwake akamgongea mke wake ndani atoke aje afungue kumbe bidada alikua na yule kidume ndani wakifanya yao ,baada ya kugonga mlango mwanamke akagoma kufungua jamaa ilimbidi avunje mlango huwezi amini alimkuta mke na yule kidume ndani,,jamaa alijawa na hasira akachomoa kisu kawadhuru wote wakadanja jamaa akimbilia nchi jiran,,baada ya miaka kama 15 kupita ikajakugundulika jamaa ndie aliua.
Sasa swali linakuja iv kuna uhusiano gan Wa hisia kimatendo kwa watu walidumu kwa mda mrefu kwenye mahusiano au ndoa??Mana hata mm hua inanitokeaga Mara nyingi tu ,hisia zangu hua zinanibia mtu fulan hayupo eneo zuri na nikimpigia cm nakuta kweli yupo eneo ambalo sio sahihii hua nashindwa kuelewa hua kuna nn??

Karbun,,
 
Hisia za kibinadamu zinahusika hapo, sijajua kiundani haswa lakini wataalamu wa saikolojia watusaidie nasi tupate elimu
 
Kwani kuna uhusiano gani kati ya Ccm kutawala Tanzania zaidi ya miaka Hamsini?
 
Hisia za kibinadamu zinahusika hapo, sijajua kiundani haswa lakini wataalamu wa saikolojia watusaidie nasi tupate elimu
Asee itabdi wake watueleze kwa kweli,,hua naumiza kichwa kijua nguvu iliyopo kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom