Unahitajika ushauri/mawazo kuokoa hili penzi

atlas copco

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
8,552
Reaction score
9,815
Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo.

Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5 niliamua kuvunja ukimya kwa kuanzisha mahusiano na mwanadada mmoja,kwakweli huyo dada nilimwelewa sana ni mtu anaonekana ana vision kuhusu maisha,mwanzoni mwa mahusiano nilishindwa kumwelewa sababu ni mtu ametulia sana yaan mkimya,hio hali ilikuwa inaniumiza sana unajiuliza huyu mtu hafurahii haya mahusiano au ana tatizo gan?!,iko hivi usipomtafuta basi na yy haangaiki kukutafuta,unampigia sim hapokei,baadae akipokea namwuliza hujakuta missed call mbona hukunicheki kujua sababu za kukutafuta bado majibu yake bado yanakuwa hayajitoshelezi/hayaridhishi,kuna siku nilimwuuliza je unanipenda na upo serious kweli unahitaji tujenge familia?,jibu lake ni ndio nakupenda na nipo serious kweli kweli,nilimweleza hio hali ya kuwa mkimya siifurahi kama kuna tatizo niambie,alichojibu aliniambia ndio hivi nilivyo,kwa kifupi hayupo romantic,unajitahidi kumwandikia sms za mahaba lkn majibu yake unachoka,utamtext sms nzuuri lkn atajibu "ASANTEE AU POA",Mpaka huwa najuliza wale wanaopotiwa kwenye status na wapenzi wao huwa wanafanyaje,kuna wakati nilimbana nikamwuliza kama una mtu anakuweka busy niambie tuu nicheki ustaarabu mwingine lkn alikataa katakata na yy kuniuliza kwanin simwamini?kuna siku nilimwita mahali akaja nikamsuprise kwa kumpeleka dukani nikamwambia achague sim sababu alikuwa na sim ya torch,lkn bado hakuonyesha kufurahia hio zawadi,tatizo lingine yupo busy sana ukiuliza sababu anadai kwao amebaki yy na mamaake ndg zake wengine wameolewa na wanaume wana maisha yao mbali na nyumban,so yy ndio wa kumsaidia bimkubwa biashara na shughuli za nyumban,

Tusaidiane mawazo/ushauri...,kiukweli nimemwelewa sana na nnahitaji awe mama wtt wangu ila kinachonipa wasiwasi ni hiyo tabia yake.

NB:Amejaliwa kupata mtt mmoja wa kike nimejitolea kuubeba huo msalaba lkn naona unataka kunishinda kwa tabia yake

Update

Weekend iliyopita nilimwalika maskani kwangu,baada ya story 2 3 nilimweleza sifurahishwi na huo ukimya wake,alichojibu ni yupo sawa ila kinamchompa mawazo na kumkosesha amani ni mtoto wake...,

Uamuzi ninaotaka kuchukua kwa ss nataka nimpe nafasi/muda ajitafakari,kama ataona kuna umuhimu wa kuendeleza mahusiano au laah
 
Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo.

Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5 niliamua kuvunja ukimya kwa kuanzisha mahusiano na mwanadada mmoja,kwakweli huyo dada nilimwelewa sana ni mtu anaonekana ana vision kuhusu maisha,mwanzoni mwa mahusiano nilishindwa kumwelewa sababu ni mtu ametulia sana yaan mkimya,hio hali ilikuwa inaniumiza sana unajiuliza huyu mtu hafurahii haya mahusiano au ana tatizo gan?!,iko hivi usipomtafuta basi na yy haangaiki kukutafuta,unampigia sim hapokei,baadae akipokea namwuliza hujakuta missed call mbona hukunicheki kujua sababu za kukutafuta bado majibu yake bado yanakuwa hayajitoshelezi/hayaridhishi,kuna siku nilimwuuliza je unanipenda na upo serious kweli unahitaji tujenge familia?,jibu lake ni ndio nakupenda na nipo serious kweli kweli,nilimweleza hio hali ya kuwa mkimya siifurahi kama kuna tatizo niambie,alichojibu aliniambia ndio hivi nilivyo,kwa kifupi hayupo romantic,unajitahidi kumwandikia sms za mahaba lkn majibu yake unachoka,utamtext sms nzuuri lkn atajibu "ASANTEE AU POA",Mpaka huwa najuliza wale wanaopotiwa kwenye status na wapenzi wao huwa wanafanyaje,kuna wakati nilimbana nikamwuliza kama una mtu anakuweka busy niambie tuu nicheki ustaarabu mwingine lkn alikataa katakata na yy kuniuliza kwanin simwamini?kuna siku nilimwita mahali akaja nikamsuprise kwa kumpeleka dukani nikamwambia achague sim sababu alikuwa na sim ya torch,lkn bado hakuonyesha kufurahia hio zawadi,tatizo lingine yupo busy sana ukiuliza sababu anadai kwao amebaki yy na mamaake ndg zake wengine wameolewa na wanaume wana maisha yao mbali na nyumban,so yy ndio wa kumsaidia bimkubwa biashara na shughuli za nyumban,

Tusaidiane mawazo/ushauri...,kiukweli nimemwelewa sana na nnahitaji awe mama wtt wangu ila kinachonipa wasiwasi ni hiyo tabia yake.

NB:Amejaliwa kupata mtt mmoja wa kike nimejitolea kuubeba huo msalaba lkn naona unataka kunishinda kwa tabia yake
Achana nae huyo single mother hivi huwaoni wanawake wazuri, wametulia na wanajielewa? Mkuu usipoteze mda wako kwake jipe mda, tulia, tengeneza maisha yako utampata anayejitambua.
 
Kama ana mtoto tayari ni vema kujua kwa nini hajaendeleza familia na mzazi mwenzie!! Inawezekana mahusiano yake ya mwanzo yamemuathiri kisaikolojia! Hivyo endelea kumdadisi na kumweleza hisia zako juu yake, kama kweli unampenda endelea kumuhakikishia kuwa unampenda iko siku atafunguka tu.
 
Anakaaa wapi mbona na mm ninaye kama hivo hivo mpka mtoto hebu njooo pm
 
Achana nae huyo single mother hivi huwaoni wanawake wazuri, wametulia na wanajielewa? Mkuu usipoteze mda wako kwake jipe mda, tulia, tengeneza maisha yako utampata anayejitambua.
Kweli ni single mother ila nimetokea kumpenda tuu sielewi kwanin imetokea hivyo
 
Kama ana mtoto tayari ni vema kujua kwa nini hajaendeleza familia na mzazi mwenzie!! Inawezekana mahusiano yake ya mwanzo yamemuathiri kisaikolojia! Hivyo endelea kumdadisi na kumweleza hisia zako juu yake, kama kweli unampenda endelea kumuhakikishia kuwa unampenda iko siku atafunguka tu.
Kweli mkuu,nimetokea kumwelewa ila tatizo ndio hilo kutofunguka,ila ndio hivyo bado nampa muda,hata mm nahisi bado amethirika kisaikologia najaribu kumcare sana na huwa najtahidi kutomkwaza
 
"amejaliwa kupata mtoto mmoja" hapo ndo kwenye majibu ya maswali yako,mchunguze vizuri anachuki na wanaume huyo na si ajabu baba wa mtoto ndo kampa hayo maumivu.

kwanini mimi binafsi naogopa single mother ni sababu moja kuu,wengi wao wanachuki dhidi ya wanaume,wachache sana wameweza kusamehe na ku move on.
Wengi wao utasikia mi mwanaume hanibabaishi, ujue huyo utatembea nae mkizinguana basi chuki yake inaripuka na hayataisha,mwingine sitaki kabisa kusikia habari za wanaume ujue huyo kesha chukua kadi ya chaputa,mwingine mnapanga mipango ya maendeleo mwenzako kimyakimya anajichanga anunue kiwanja ajenge sababu wanaume hawatabiriki.
Case zote hizo ni mwanamke anakuwa na chuki dhidi ya wanaume ila kwa sura mbalimbali.
Embu mcheki kwenye hilo kwanza nahisi ndo kwenye tatizo.Swali je unaweza kuprove kwa huyo mwanaume kwamba wanaume wote sio sawa? manake inabidi umpende mpk aanze kujiona yeye mjinga na mawazo yake ya chuki hayafai,kitu ambacho wanaume wachache sana wanaweza tena wale good boy si wengine ukileta chuki zako its over hatujui ht maana yakupenda mtu ni nini,leo tunapenda kesho tumebadilika.
 
Kweli ni single mother ila nimetokea kumpenda tuu sielewi kwanin imetokea hivyo
Hao saikolojia yao ilishaingia mdudu mkuu talking from my experience utawekeza sana kwake lakini hatojali. We kuwa busy na mishe zako utapata anayekuelewa. Hawa walishaumizwa siku nyingi kwa hiyo anakuona na wewe ni wale wale na hata ukimuoa unaweza kujuta mkuu. Ila maamuzi ya mwisho unayo wewe kusuka au kunyoa.
 
Upo sahihi kbs mkuu,najaribu kumwonyesha upendo wa dhati kbs,lkn ataendelea na hio hali sina budi kumwacha,mpaka kuna muda najiuliza huyu amenifanyaje mwisho wa siku nagundua ni upendo wangu kwake
 
Hao saikolojia yao ilishaingia mdudu mkuu talking from my experience utawekeza sana kwake lakini hatojali. We kuwa busy na mishe zako utapata anayekuelewa. Hawa walishaumizwa siku nyingi kwa hiyo anakuona na wewe ni wale wale na hata ukimuoa unaweza kujuta mkuu. Ila maamuzi ya mwisho unayo wewe kusuka au kunyoa.
Nimejipa muda kumcheki ila ikifika Dec namwaga manyanga mkuu
 
Mwambie unataka kumuoa ndani ya mwaka huu akileta mashauzi piga chini,tafuta binti mbichi oa.
Week iliyopita nimemwambia mwisho wa mwaka huu nataka nitume ujumbe kwenu je upo tayari,akasema nipo tayari kwa lolote
 
Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo.

Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5 niliamua kuvunja ukimya kwa kuanzisha mahusiano na mwanadada mmoja,kwakweli huyo dada nilimwelewa sana ni mtu anaonekana ana vision kuhusu maisha,mwanzoni mwa mahusiano nilishindwa kumwelewa sababu ni mtu ametulia sana yaan mkimya,hio hali ilikuwa inaniumiza sana unajiuliza huyu mtu hafurahii haya mahusiano au ana tatizo gan?!,iko hivi usipomtafuta basi na yy haangaiki kukutafuta,unampigia sim hapokei,baadae akipokea namwuliza hujakuta missed call mbona hukunicheki kujua sababu za kukutafuta bado majibu yake bado yanakuwa hayajitoshelezi/hayaridhishi,kuna siku nilimwuuliza je unanipenda na upo serious kweli unahitaji tujenge familia?,jibu lake ni ndio nakupenda na nipo serious kweli kweli,nilimweleza hio hali ya kuwa mkimya siifurahi kama kuna tatizo niambie,alichojibu aliniambia ndio hivi nilivyo,kwa kifupi hayupo romantic,unajitahidi kumwandikia sms za mahaba lkn majibu yake unachoka,utamtext sms nzuuri lkn atajibu "ASANTEE AU POA",Mpaka huwa najuliza wale wanaopotiwa kwenye status na wapenzi wao huwa wanafanyaje,kuna wakati nilimbana nikamwuliza kama una mtu anakuweka busy niambie tuu nicheki ustaarabu mwingine lkn alikataa katakata na yy kuniuliza kwanin simwamini?kuna siku nilimwita mahali akaja nikamsuprise kwa kumpeleka dukani nikamwambia achague sim sababu alikuwa na sim ya torch,lkn bado hakuonyesha kufurahia hio zawadi,tatizo lingine yupo busy sana ukiuliza sababu anadai kwao amebaki yy na mamaake ndg zake wengine wameolewa na wanaume wana maisha yao mbali na nyumban,so yy ndio wa kumsaidia bimkubwa biashara na shughuli za nyumban,

Tusaidiane mawazo/ushauri...,kiukweli nimemwelewa sana na nnahitaji awe mama wtt wangu ila kinachonipa wasiwasi ni hiyo tabia yake.

NB:Amejaliwa kupata mtt mmoja wa kike nimejitolea kuubeba huo msalaba lkn naona unataka kunishinda kwa tabia yake
Anatatizo la mood disorder
 
Jaribu kumuuliza ni vitu gan anapenda kufanya na vitu gan anapenda kufanyiwa

Na hujaeleza kuhusu ushirikiano wake kitandan anaonyesha ushirikiano au yupo kama gogo?

Na kama anaonesha ushirikiano vip mkimaliza mgegedano haoneshi uchangamfu kidogo?
 
Yupo disconnected na hisia zake, ni kuwa kweli anakupenda lakini anashindwa kuwakilisha hisia zake kwako. Mfanye ajisikie kama mwanamke tena
 
Jaribu kumuuliza ni vitu gan anapenda kufanya na vitu gan anapenda kufanyiwa

Na hujaeleza kuhusu ushirikiano wake kitandan anaonyesha ushirikiano au yupo kama gogo?

Na kama anaonesha ushirikiano vip mkimaliza mgegedano haoneshi uchangamfu kidogo?
Kitandani huwa anaonyesha ushirikiano wa kutosha na baada ya show huwa anaonyesha tabasamu mpaka unafurahi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom