fafanua kidogo..
1. kumpata mpenzi mpya ndio faraja au ni kujiongezea shida..!!!
2. kama hujaoa/kuolewa unakuwa upo huru kuamua lolote au unakuwa hujiamini hata kwa mambo madogo.!!!
3. ni faida kuoa/kuolewa au ni shida tu..!!!
Ongezofafanua kidogo..
1. kumpata mpenzi mpya ndio faraja au ni kujiongezea shida..!!!
2. kama hujaoa/kuolewa unakuwa upo huru kuamua lolote au unakuwa hujiamini hata kwa mambo madogo.!!!
3. ni faida kuoa/kuolewa au ni shida tu..!!!
Me penzi jipya linanipa tu tabu kwanza sipendi inanichukua muda kumzoeaUzi huu naomba majibu ya pande zote mbili, me na ke
Hiv kwa wakati ambao bado hujapata utakae muowa au kukuowa, pia wakat hujaingia kwenye ndoa bado...
Ni raha ilioje kupata penz jipya au kwako unakua mtu wa mashaka siku zote ukiwa na mpenz mpya?
Basi mi mgumu kuelewaShort and clear mkuu...
Yaan siyo kumuhoji tu hata kumzoea kwenye mambo mengi mfano anavoishi, faragha n.k yaan me kwangu mtihaniTatizo nn? Au ndo ukimya sana?
Unashindwa kumuhoji mpenz mpya?
Woooooo!!!
Simple ether teacher au mfanya biashara au anasoma bado.Yaan siyo kumuhoji tu hata kumzoea kwenye mambo mengi mfano anavoishi, faragha n.k yaan me kwangu mtihani
Kumuhoji mbona naweza muhoji tu? Ila kumzoea ndo it takes a time