pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Habari ya asubuhi
Natumaini mko poa Jamani mke wangu ana mimba ya miezi 3 sasa amebadilika hana heshima kabisa sometimes ananiambia ati ninanuka hapendi kuniona lakini nikiondoka tu anaanza kunitafuta tena.
Pia amekuwa na hasira sana. Je, nifanye nini niendane naye?