habari wadau, asante kwa mlochangia mawazo katika tatizo la mpenzi wangu kuniita MY, saivi nmemnyoosha ameacha, sasa ameanza jipya anaandika msg zina makelele, mfano: badala ya kujibu "sawa"...
NATAFUTA MKE MWENYE SIFA HIZI:
1. MKRISTO SAFI ALIYEOKOKA
2.UMRI 28-40
3.KIPATO CHA KAWAIDA, HATA KAMA HANA KAZI SITASHINDWA KUMLISHA NA KUMVISHA, KIPATO CHANGU NI KAWAIDA ILA KINATOSHA KUENDESHA...
Habari za asubuhi wana JF?
Awali ya yote, nimetanguliza salamu kwenu nikiwa na matumaini kuwa mko vizuri. Katika chapisho hili, nimependa kutoa hitaji langu kwenu kuwa kupitia jukwaa hili...
Habari wadada'
Mimi nipo hapa JF miaka mingi saana......na nimegundua kuwa hapa ni sahihi kwa watu sahihi!
Nisiandike saana mm ni mwaume wa miaka 32 sasa najitambua nafanya kazi na naendesha...
Mimi nina 30 umri nipo mbeya nimeajiriwa sirikalini lakini pia nimejiajiri mwenyewe.
Nahitaji mke mwenye umri kuanzia 23 mpaka 27 awe mrefu wa wastani kabila lolote..dini yoyote naomba awe...
February :
Huu ndio mwezi bora na wenye mizizi yote ihusuyo historia ya maisha yangu.. Nilizaliwa 14th February .. Mwezi ambao inasadikika walizaliwa watu wenye IQ ya khali ya juu mno chini ya...
Na Sio wivu kinachonisumbua ila nachukia tu Tena Sana kuona Mpenzi wangu akicheka na wanaume ambao sio macomedian. naona Kama Ana uwezo wa kucheka naye Basi atamtunuku hata penzi na...
Habari za humu wanaJF naimani mko vyema sema nchangamoto ndogo ndogo hatuwezi kuziepuka kikubwa uzima niende kwenye point
Ndugu zangu yaliyonikuta nimazito kwasababu ilikuwa siku ya jumatano...
Naomba nisiende mbali ilikuepuka kuwachosha wana JF
Moja kwa moja
Neno UAMINIFU kwny mapenzi ni wito wakuu kutokana na kuwa huwaweka watu roho juu
Kisa: wakuu nina mwenza Wang ambaye nimezaa...
...Wadau Nilikuwa na dhana Potofu Sana juu ya Wanawake Wanene.....kuwa papuchi mbovu, wavivu kitandani, Mimaji mwa mwa mwa na maneno mengi kibao, mpaka Nikaanza Kuwa siwapendi kwa Sababu Za...
Wakuu hivi nini kazi ya shanga kiunoni?
Unamkuta mdada mrembo , mweupe kama mmarangu au mrangi wa singida akivua jeans na chupi yake utakachokiona hutoamini kabisa? Mishanga mingi yenye rangi...
Ndugu wanajamvi nawasalimia,miaka kama mitatu iliyopita nilizama kwenye mapenzi na mtoto wa mwenye nyumba wangu.
Huyo Dada nilimpenda sana pamoja na kwamba umri umri wake umeenda kidogo, japo sio...
HUYU NDIO MWANAMKE WA KUOA ILA SIJUI KAMA TANZANIA YUPO😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃
1-Mwanamke ambaye anakuja kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari kisha akaamua kula nawe,huyo mwanamke oa.
2-Unakwenda...
Inauma na kukera umejiandaa kwa sex unaambiwa nimechoka, usiku mno, nitakupa asubuhi asubuhi ikifika unaambiwa duu! Kumbe kumekucha sana. Akinipa sex ujue maisha ya marehemu hachezi wala...
Miaka mingi nyuma wanawake na jamii haikuona kama ni tatizo endapo mwanamke hatofurahia tendo la ndoa. Walikuwa wanaamini kwamba kazi kubwa ya viungo vya mwanamke ni kuzaa. Hivyo mwanamke...
Asilimia kubwa ya wanawake, Akiwa na mme ama mwenza basi Kutoa pesa yake kwa ajili ya kulipia Kitu flani ilhali mwanaume yupo, kwao zinawauma kama Vidonda vya Tumbo. Haijalishi hata kama ana...
Je umeoa au umeolewa ukiwa na umri gani!? Mambo yakoje ss ndani ya ndoa yako?!! Je! ni umri/wakati gani sahihi wa kuoa au kuolewa!?!........ Unajutia au unajipongeza kwa hatua hyo!??
Nawasilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.