Kuna utani wa kuitana nyumba za Wageni?

Kuna utani wa kuitana nyumba za Wageni?

mandela1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
837
Reaction score
602
Habari za humu wanaJF naimani mko vyema sema nchangamoto ndogo ndogo hatuwezi kuziepuka kikubwa uzima niende kwenye point
Ndugu zangu yaliyonikuta nimazito kwasababu ilikuwa siku ya jumatano najiandaa kwenda kazini kama kawaida muda ni kitu cha kuzingatia ili niende bila kuchelewa ndipo nikachukua simu ya mwenzi wangu kutaka kujua majira ya saa ghafla nikaona sms ikisema ivi daaah ndipo nilipochukua uamuzi wa kumuuliza vipi huu ujumbe anadai kuwa ni utani .kuwa tangu walipokuwa wanasoma walikuwa na utani wa namna hiyo na hakuna kilichotokea ndipo alipompigia jamaa athibitishe yale anayoyasema ni kweli kuwa ni utani .kwenye maongezi jamaa anadai ni utani nothing serous. Sasa jamn mm utata unijia ivi kunautani wa kuitana gesti ushauri wenu please
IMG-20180803-WA0000.jpg
 
Hata mimi nawajua ni watani sana na mkeo na hata mtoto wa kwanza wamezaa pamoja kimatani.

Hivi hata ungenipigia mimi simu kuniuliza kuhusu huo utani unadhani ningekataa? Wanawake inasemekana wana akili nyingi sana kuliko wanaume kwa akili ya mkeo na wewe nakubaliana na huu usemi.
 
Hata mimi nawajua ni watani sana na mkeo na hata mtoto wa kwanza wamezaa pamoja kimatani.
Suala la watoto hakuna mwanaume ambaye anauhakika kwa asilimia 100 mtoto anayeishi naye ni wake ndo maana suala la DNA halipimwi kama HIV test
Kingine haya mambo kwenye familia zipo nini kufanyike ili kupata itatuzi wa hili jambo we ukiishia kusema ivo bado hujatatua tatizo ila umeliongezea uzito mkuu
 
Pia ukizingatia watoto wote ni wetu mkuu
 
Suala la watoto hakuna mwanaume ambaye anauhakika kwa asilimia 100 mtoto anayeishi naye ni wake ndo maana suala la DNA halipimwi kama HIV test
Kingine haya mambo kwenye familia zipo nini kufanyike ili kupata itatuzi wa hili jambo we ukiishia kusema ivo bado hujatatua tatizo ila umeliongezea uzito mkuu
Ukweli ni kuwa huyo Mwanamke alikuwa na mahusiano na huyo jamaa na huwenda huwa wanakumbushana.

Hakuna utani hadi ndani ya ndoa ukiona upo ujue kuna kitu kiliwahi kutokea au kinaendelea kutokea.
 
Ukweli ni kuwa huyo Mwanamke alikuwa na mahusiano na huyo jamaa na huwenda huwa wanakumbushana.

Hakuna utani hadi ndani ya ndoa ukiona upo ujue kuna kitu kiliwahi kutokea au kinaendelea kutokea.
Ndio ila tuna mtoto mmoja wa miaka 2 na miezi 4 na isitoshe kwny ndoa kunakuwa na malengo mnayotakiwa kuyatimiza pia kuandaa future ya mtoto pia nimeishi naye kwa mda wote huo wa miaka minne sijaona kitu kama hicho
 
Hata mimi nawajua ni watani sana na mkeo na hata mtoto wa kwanza wamezaa pamoja kimatani.

Hivi hata ungenipigia mimi simu kuniuliza kuhusu huo utani unadhani ningekataa? Wanawake inasemekana wana akili nyingi sana kuliko wanaume kwa akili ya mkeo na wewe nakubaliana na huu usemi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wakati mwingine ni utani tu.....hakuna kitu serious mim kuna mtu ananitania ukiona hizo sms utadhan kweli kumbe hakuna chochote
Naweza nikakubalina na ww kwa kiasi fulani akani kwanini kuwepo na utani wa namna hiyo ilihali unajua upo kwenye ndoa ama seriouse relationship huoni bado haileti maana kabisa mkuu
 
Naweza nikakubalina na ww kwa kiasi fulani akani kwanini kuwepo na utani wa namna hiyo ilihali unajua upo kwenye ndoa ama seriouse relationship huoni bado haileti maana kabisa mkuu
kweli mkuu ila dunia ina mambo mengi mwingine anaondoa stress zake kwa njia ya matani kwa kuchat na mtu tofauti
 
kweli mkuu ila dunia ina mambo mengi mwingine anaondoa stress zake kwa njia ya matani kwa kuchat na mtu tofauti
Mkuu sina namna ntakubali tyu kwa namna hiyo kwa sababu sina ushahidi wa kutosha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilikuwa najaribu kukupa neno kwa Reply zangu kule juu hebu zirudie.
Ndio ila kwenye malove hamna jemedari mkuu ndo maana ndoa nyingi huvunjika bila kuchukua uamuzi sahihi kwa masilahi ya maisha ya baadaye
 
Back
Top Bottom