Hivi vitu kazi yake ni nini?

Hivi vitu kazi yake ni nini?

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Wakuu hivi nini kazi ya shanga kiunoni?

Unamkuta mdada mrembo , mweupe kama mmarangu au mrangi wa singida akivua jeans na chupi yake utakachokiona hutoamini kabisa? Mishanga mingi yenye rangi tofauti .....!!! Jana ustaarabu umenishinda nikamuuliza wewe ni mganga wa kienyeji? Hakunipa jibu ....nilichoamua kimya kimya nilimvua nikatoka nje nikachukua mafuta ya taa nikayapiga mto.

Kifupi sitakagi ushirikina kabisa....siwezi kumpa pesa ya mavazi yeye anaenda kununua uchafu then anaubeba kiunoni.

Na mliomfundisha mmkome kabisa my sinyorita......

Ni hayo tu. Ijumaa khaleem
 
Dah mkuu hujui mambo ya pwani hayo.

Ila siku hizi tumeendeleaa.unakuta shanga inakauzi kamoja tu inavaliwa matako wako alafu huku mbele kuna kiuzibe flani kimeandika eidha

Bebi kula yote

Mpenzi yako tamu

Au inaandikwa jina lako

Kula uwezavyo

Wanikuna uzuri

Huyo kapitwa na wakati kabisa anavaa madudu yote hayo?

Kiasi uone anazingua
 
Mkuu kwanza mi namuogopa sana mwanamke mwenye shanga,yaani namuona kama malaya,tena nikiona hadi stimu zinaisha kabisa,
Wakuu hivi nini kazi ya shanga kiunoni?

Unamkuta mdada mrembo , mweupe kama mmarangu au mrangi wa singida akivua jeans na chupi yake utakachokiona hutoamini kabisa? Mishanga mingi yenye rangi tofauti .....!!! Jana ustaarabu umenishinda nikamuuliza wewe ni mganga wa kienyeji? Hakunipa jibu ....nilichoamua kimya kimya nilimvua nikatoka nje nikachukua mafuta ya taa nikayapiga mto.

Kifupi sitakagi ushirikina kabisa....siwezi kumpa pesa ya mavazi yeye anaenda kununua uchafu then anaubeba kiunoni.

Na mliomfundisha mmkome kabisa my sinyorita......

Ni hayo tu. Ijumaa khaleem
 
Dah mkuu hujui mambo ya pwani hayo.

Ila siku hizi tumeendeleaa.unakuta shanga inakauzi kamoja tu inavaliwa matako wako alafu huku mbele kuna kiuzibe flani kimeandika eidha

Bebi kula yote

Mpenzi yako tamu

Au inaandikwa jina lako

Kula uwezavyo

Wanikuna uzuri

Huyo kapitwa na wakati kabisa anavaa madudu yote hayo?

Kiasi uone anazingua
Mkuu zote zenye maneno yote hayo umeshaziona??? Wewe nouma
 
Mimi hata sielewi maana yake, nikiona dem amezivaa basi hapo hapo namshusha dhamani hata kama ni mzuri kiasi gani
 
Wakuu hivi nini kazi ya shanga kiunoni?

Unamkuta mdada mrembo , mweupe kama mmarangu au mrangi wa singida akivua jeans na chupi yake utakachokiona hutoamini kabisa? Mishanga mingi yenye rangi tofauti .....!!! Jana ustaarabu umenishinda nikamuuliza wewe ni mganga wa kienyeji? Hakunipa jibu ....nilichoamua kimya kimya nilimvua nikatoka nje nikachukua mafuta ya taa nikayapiga mto.

Kifupi sitakagi ushirikina kabisa....siwezi kumpa pesa ya mavazi yeye anaenda kununua uchafu then anaubeba kiunoni.

Na mliomfundisha mmkome kabisa my sinyorita......

Ni hayo tu. Ijumaa khaleem

Kumbe Singida kuna warangi!
 
Usichotumia wewe usiite haramu... Kama unaweza niunganishe na huyo kiumbe mkuu
 
Nimewahi date mademu wa hivi, mostly huwa wanakuwa mafundi hasa kitandani. Yaani hapo ni pumzi yako tu kukesha kifuani lakini shanga hutoa hamasa kama yooote😋😋😋😋😋
 
Shanga zinavaliwa ukiwa na mpenzi wako sio wote ni zaushirikina angekuwa aliziloga usingeziona wala ungepata tu mvuto naye naungesikia raha tu na unampa anachotaka ila yeye sidhani kama ni mchawi ndio maana unazijua.
Unajua mapenzi kila mmoja anaweza kulingana na mambo yake.
So yeye bila shanga hawezi
 
Wakuu hivi nini kazi ya shanga kiunoni?

Unamkuta mdada mrembo , mweupe kama mmarangu au mrangi wa singida akivua jeans na chupi yake utakachokiona hutoamini kabisa? Mishanga mingi yenye rangi tofauti .....!!! Jana ustaarabu umenishinda nikamuuliza wewe ni mganga wa kienyeji? Hakunipa jibu ....nilichoamua kimya kimya nilimvua nikatoka nje nikachukua mafuta ya taa nikayapiga mto.

Kifupi sitakagi ushirikina kabisa....siwezi kumpa pesa ya mavazi yeye anaenda kununua uchafu then anaubeba kiunoni.

Na mliomfundisha mmkome kabisa my sinyorita......

Ni hayo tu. Ijumaa khaleem
we utakuwa ni mwanaume wa dar tu,unajifanya msela mavi siyo.. hujui habari ya ile kitu wewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom