UBINAFSI WA WANAWAKE KWENYE NDOA

UBINAFSI WA WANAWAKE KWENYE NDOA

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,102
Asilimia kubwa ya wanawake, Akiwa na mme ama mwenza basi Kutoa pesa yake kwa ajili ya kulipia Kitu flani ilhali mwanaume yupo, kwao zinawauma kama Vidonda vya Tumbo. Haijalishi hata kama ana source nzuri tu ya kipato.
Mambo yao huwa ni ya kibinafsi binafsi tu utaskia " Mi nataka nifungue biashara" "Mama anataka pesa afanyie kilimo nimemtumia sina pesa"...Hata kama mna jambo la kifamilia kuna yale tu atakayoyafanya binafsi kwa siri...

Wanasema kwenye Familia Mke akiwa na laki saba, na mume ana elfu tisini.... Jumla ya pesa iliyopo ni elfu tisini

(Mind you, sijasema ni wote ila nimesema wengi wao)
 
Kama umebahatika kupata wa namna hiyo pambana nae au jaribu kumbadilisha kama utaweza

Ata wanaume bahili wapo sana
 
Sasa wewe uliowa uhudumiwe au uliowa uhudumie??? Pesa ya mwanamke ni ya kwake ya mwanaume ni ya familia...
 
Pole mkuu inawezekana we ndio ukawa tatizo wewe ndio umeanza hiyo tabia
 
Alaaa kumbe? kumbe pesa ya mwanamke haitakiwi kununua hata karot kama jina lako? [emoji16]
Sasa wewe uliowa uhudumiwe au uliowa uhudumie??? Pesa ya mwanamke ni ya kwake ya mwanaume ni ya familia...
 
Hiyo ni asili huwezi badili, usitegemee usawa na mwanamke
 
Kimsingi maisha ya ndoa ni lazima kusaidiana,mume ameyumba kiuchumi mke anafanya mambo ili amstiri mume wake.

Ingawa kama Gentleman hautakiwi kujisahau sana pale mke wako anapokupiga tafu majukumu yako,na pia Gentleman unatakiwa uyafahamu majukumu yako vizuri.

Lakini wakati mwingine inakera wife anafanya kazi,analamba salio zuri,ila mpaka pesa ya kununua mafuta ya taa na kiberiti nayo mpaka mume atoe.

Sasa hii haipo poa kabisa.
 
KAKA UNA AKILI KAMA YANGU KWENYE HILO SUALA...

MKE WANGU KUSEMA UKWELI ANANISTIRIGI NIKIWA SINA KITU...UNAKUTA ANA KACHEREHANI KAKE...ANAINGIZA PESA KIDOGO ANAHIFADHI...

SIKU SINA ANAOKOA JAHAZI...

ILA SITAKAGI ANIZOESHE SANA...HUWA SOMETIMES NAMWAMBIA UMENIKOPESHA NITAKURUDISHIA HELA YAKO...SIO KWAMBA SIPENDI..ILA SITAKI KULEMAA...

WEWE JAMAA UMEOA NINI?
 
A/Kuna mwanamke amezaliwa kua Mke wamtu.

B//Kuna mwingine kazaliwa kuongeza idadi ya wanawake hapa dunian.

Sasa Majibu ya Mada yako, yatategemea kat ya hawa wanawake wawili. Umeoa yupi???
 
Mkuu mi nashaur tusipende misaada yao maana wana tabia ya kuitangaza wakishatoa utadhan anafanya hisan kumbe ni familia yenu wote

Marafk zake wote na ndugu juu watajua yy kuna hela huwa anachangia wanawake watu wa ajabu sana
 
KAKA UNA AKILI KAMA YANGU KWENYE HILO SUALA...

MKE WANGU KUSEMA UKWELI ANANISTIRIGI NIKIWA SINA KITU...UNAKUTA ANA KACHEREHANI KAKE...ANAINGIZA PESA KIDOGO ANAHIFADHI...

SIKU SINA ANAOKOA JAHAZI...

ILA SITAKAGI ANIZOESHE SANA...HUWA SOMETIMES NAMWAMBIA UMENIKOPESHA NITAKURUDISHIA HELA YAKO...SIO KWAMBA SIPENDI..ILA SITAKI KULEMAA...

WEWE JAMAA UMEOA NINI?

Ahhhhhhhh kaka umenifurahisha sana mzeeeeee,bado nipo bachela ila kama M/mungu akifanya wepesi mwakani nataka nipige chombo inshaaaallah,dua zako kaka.
 
Back
Top Bottom