UAMINIFU NI WITO

mandela1

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
837
600
Naomba nisiende mbali ilikuepuka kuwachosha wana JF
Moja kwa moja
Neno UAMINIFU kwny mapenzi ni wito wakuu kutokana na kuwa huwaweka watu roho juu

Kisa: wakuu nina mwenza Wang ambaye nimezaa Naye mtoto mmoja kwa tafasiri Nzuri yaani mzazi mwenzangu ila tupo mbioni kubariki ndoa .

Naandika uzi huu nikiomba kupata mawazo tofauti tofauti kutoka kwenu kwamba..
Mzazi mwenzangu ameitwa kwenda kwenye mafunzo ama semina kwa lugha rahisi sasa
Huko alipo anafikia nyumba za wageni ndo aende darasani kila siku
Wasiwasi wangu ni kuwa ntamuamini vepe wakuu ili hali mnajua akili za hawa jinsia ya kike japo mwanzo sijaona tabia yeyote ya kutomwamini kwa kuwa alikuwa karibu nami .

Wasi wasi tena n pale napompigia Simu nasikia mtu akibisha mlango saa 5 anaomba charge ya simu chumba alichokuwemo yeye

NIMUAMINI KWELI WAKUU......?
 
Hata usipomuamini utafanya nini? Muachie Mungu akiamua kutesa uchi wake basi.LALA KWA AMANI ACHANA NA MAFIKILIO YA NAMNA HIYO.
 
Sawa mkuu ila Jua wife kumpotezea n ngumu Bora rafiki
 
Naomba nisiende mbali ilikuepuka kuwachosha wana JF
Moja kwa moja
Neno UAMINIFU kwny mapenzi ni wito wakuu kutokana na kuwa huwaweka watu roho juu

Kisa: wakuu nina mwenza Wang ambaye nimezaa Naye mtoto mmoja kwa tafasiri Nzuri yaani mzazi mwenzangu ila tupo mbioni kubariki ndoa .

Naandika uzi huu nikiomba kupata mawazo tofauti tofauti kutoka kwenu kwamba..
Mzazi mwenzangu ameitwa kwenda kwenye mafunzo ama semina kwa lugha rahisi sasa
Huko alipo anafikia nyumba za wageni ndo aende darasani kila siku
Wasiwasi wangu ni kuwa ntamuamini vepe wakuu ili hali mnajua akili za hawa jinsia ya kike japo mwanzo sijaona tabia yeyote ya kutomwamini kwa kuwa alikuwa karibu nami .

Wasi wasi tena n pale napompigia Simu nasikia mtu akibisha mlango saa 5 anaomba charge ya simu chumba alichokuwemo yeye

NIMUAMINI KWELI WAKUU......?
Mind yako inakuchezea game. Best thing ukitaka uishi kwa amani. Just chill, wasiliana nae. Mwamini babe wako. Usipo mwamini utakuwa unamuwazia mabaya tu.

La mwisho jiamini ww mwenyewe
 
Acha mawazo potofu

We muamini tu punguza waswas ujipe stress kwa mambo yasiokuwepo bure
Madam aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea. Kuto kuanza kumuamini mpenz wako huwa kunakujaza na mawazo machafu ilihali hajawahi kufanya hayo. Mwishowe penzi litaingia sumu sababu ya kutokujiamini
 
So unashauri nn kifanyike sasa
Mungu alisema ishini na wake zenu kwa akili...... Hakusema ishini na wake zenu kwa wivu, ukiona mwanaume una wivu wa kijinga km huo basi jua bdo hujawa tayar kuishi na mke.
 
Mind yako inakuchezea game. Best thing ukitaka uishi kwa amani. Just chill, wasiliana nae. Mwamini babe wako. Usipo mwamini utakuwa unamuwazia mabaya tu.

La mwisho jiamini ww mwenyewe
Nimekuelewa well say
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom