Wazinzi buanaFuraha ya Mwanaume ni pale mchepuko unapoanza period baada ya kuambiwa "me sijielewi elewi".
Hapo ndio umefikiria kwa kiwango chako cha juu kabisa. HongeraFuraha ya Mwanaume ni pale mchepuko unapoanza period baada ya kuambiwa "me sijielewi elewi".
Kwa kiwango chako hichohicho sheikh, ndio majaaliwa yake aliyejuuNdiyo mkuu.Kwani ulitaka nifikilie Kwa kiwango gani?
KI- WONDEREti huu nao uzi
Furaha ya Mwanaume ni pale mchepuko unapoanza period baada ya kuambiwa "me sijielewi elewi".
Lakini wanaume wengi huwa wanafurahi Sana hiki kitu.Yani mchepuko umemwambia nimepitiliza siku,then unfortunately P hiyo hapo!!!huwa furaha sn sn nakwambia.Wake wapo tuSi wanaume wote. Halaf haya mambo ya mchepuko ni tabia za kujitakia. Kwann mna ovarate michepuko kuliko wake zenu
MO11 hutaona aibu wewe?Furaha ni pale unapoambiwa nakuja kulala huko leo
Daaah, alafu huo mchepuko ni mke wa mtu. Dunia hiiFuraha ya Mwanaume ni pale mchepuko unapoanza period baada ya kuambiwa "me sijielewi elewi".