Unasubir nn kuolewaAmbao hatujaolewa tuna comment humu pia?
Ndoa siyo Ku20mbana tu mi mwakani nitaoa nikiwa na miaka 25 net nifaidi tunda la mke wangu.Je umeoa au umeolewa ukiwa na umri gani!? Mambo yakoje ss ndani ya ndoa yako?!! Je! ni umri/wakati gani sahihi wa kuoa au kuolewa!?!........ Unajutia au unajipongeza kwa hatua hyo!??
Nawasilisha maada...... Karibuni tupeane uzoefu wa masuala ya ndoa
Muda bado na waoaji sijawaona badoUnasubir nn kuolewa
Muoaji nipo hapaKarib lakin pia utuambie unategemea lini kuingia......
hapana, wote mnakuja pm na cv zenu msubiri kuwa shortlistedAmbao hatujaolewa tuna comment humu pia?
Humuhumu dearAmbao hatujaolewa tuna comment humu pia?
Samahan tengua kauli muoaji nipo hapa, we unafumania house boy na house girl wakifanya yao unabaki unataman wakat nipo hapa.Muda bado na waoaji sijawaona bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana, wote mnakuja pm na cv zenu msubiri kuwa shortlisted
Mpaka muda huo waolewaji watakuwa wamepatikanaKwann 35!??