ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,010
- 61,260
Na Sio wivu kinachonisumbua ila nachukia tu Tena Sana kuona Mpenzi wangu akicheka na wanaume ambao sio macomedian. naona Kama Ana uwezo wa kucheka naye Basi atamtunuku hata penzi na atanisaliti.kwanini acheke naye?na wewe mwanaume unajua kabisa fulani Sio mtu wako lakini unajifanya unamchekesha chekesha.mwisho wa siku mazoea yanazidi unaanza kumshika shika mwishoni kabisa unajipigia mzigo wa mwanamke wangu.mwanamke wangu acha basi kucheka cheka na watu, hawaeleweki Hawa waogope ukitaka kucheka angalia TV show mbona Kuna comedian wazuri ila Sio mitaani Huku unacheka cheka tu Mara na muuza duka Mara na mtu hata humjui unamtabasamia ili iweje? mwenzako naumia Tena wakati mwingine Mimi unaninua hatuongei vizuri na nikiongea hucheki ila kwa wengine sasa unakenua meno Kama yote.why?