adam kayombo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 262
- 140
Inauma na kukera umejiandaa kwa sex unaambiwa nimechoka, usiku mno, nitakupa asubuhi asubuhi ikifika unaambiwa duu! Kumbe kumekucha sana. Akinipa sex ujue maisha ya marehemu hachezi wala hatikisiki. Yaani hamna cha mauno.
Wakuu naomba ushauri msaada kwangu.
Wakuu naomba ushauri msaada kwangu.