Kwako mpendwa Catherine

lwamu

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
927
1,074
Nipo hapa ninaangalia kioo cha simu yangu muda wote,nione kama kuna walau sms mpya ama incoming call mpya..
Wallah leo ilkua ni siku njema sana kwangu baada ya kuonana nawewe mrembo mwenye kila sifa ya kuitwa mrembo...
Tumekutana misa ya asubuh kanisani leo,nikakuomba namba ya simu,kwa bahati mbaya sana simu yangu ikawa imezima ko nkakupa yangu,ukaniahidi utanipigia na niwe mwenyeji wako kwa leo maana wewe ni mgeni hapa,
Kiukweli nimehisi kitu tofauti sana,hizi hisia sijazipata kwa muda mrefu sasa....i think am falling in love with you'
Nipigie tafadhali najua upo humu,hukunambia jina lako lakini nimeona una tattoo ya jina 'catherine' kwenye mkono wako wenye rangi adimu...
Umenambia wewe ni daktari pale hosptali ya bugando...
Naongea nawewe dada ulokua kanisani leo misa ya asubuhi,ulkua na Toyota hilux...
Am waiting for your call we mrembo,nishajicock kwa mtoko wa usiku leo,all bills on meh....
Timiza ahadi tafadhali
 
Mkuu c unajua vichwa vyetu vya panzi nisingeweza kukariri,lakini yule binti anaonekana ni descent sana,so naamini atantafuta 2,atapita hapa ataona ujumbe huu
Hahahaaaaa!! Fursa kama hizo jiongeze kijana, anakutajia namba unakariri kichwani!! Imekula kwako
 
Nipo hapa ninaangalia kioo cha simu yangu muda wote,nione kama kuna walau sms mpya ama incoming call mpya..
Wallah leo ilkua ni siku njema sana kwangu baada ya kuonana nawewe mrembo mwenye kila sifa ya kuitwa mrembo...
Tumekutana misa ya asubuh kanisani leo,nikakuomba namba ya simu,kwa bahati mbaya sana simu yangu ikawa imezima ko nkakupa yangu,ukaniahidi utanipigia na niwe mwenyeji wako kwa leo maana wewe ni mgeni hapa,
Kiukweli nimehisi kitu tofauti sana,hizi hisia sijazipata kwa muda mrefu sasa....i think am falling in love with you'
Nipigie tafadhali najua upo humu,hukunambia jina lako lakini nimeona una tattoo ya jina 'catherine' kwenye mkono wako wenye rangi adimu...
Umenambia wewe ni daktari pale hosptali ya bugando...
Naongea nawewe dada ulokua kanisani leo misa ya asubuhi,ulkua na Toyota hilux...
Am waiting for your call we mrembo,nishajicock kwa mtoko wa usiku leo,all bills on meh....
Timiza ahadi tafadhali
Ushapatwa mkuu jaribu kulala kanisani atatokea tena kesho.
 
wenzako hatupakagi mkono mmoja mafuta ili ukikosa peni unachukua kijiti unajichora tempolary wakati maandalizi ya peni na karatasi yanaendelea
 
We umekutana na malaya kanisani kaenda kupunguza dhambi anyway ngoja kwanza afumuliwe then atakuletea na wewe!
 
Back
Top Bottom