MimiKijana
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 265
- 243
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo;
Zifuatazo ni baadhi ya dokezo naamini huenda zikawasaidia wenzangu japo naamini wapo wanaoyajua:
1) Mwanamke humsoma mwanaume kwa umakini sana tofauti na tunavyodhania, huwaga tunawachukulia simple lakini wengi ni wazugaji ili usiwashtukie Ujanja wao.
2) Baadhi yetu tuna ushamba wa kutaka kuonekana kidume kwa kufunga mara nyingi au mwingine anamkamia kabisa kwamba atamkomesha kwa 6, hapa tunachenkaga sana. Ukweli ni Kwamba ukimkamia demu hautamfaidi (najua baadhi watanielewa) pili Ujanja ni kumsaidia afunge mara nyungi sio wewe ufunge mara nyingi. Najua kuna kaka zangu hapa watabutwaa.... Hili ni tatizo kubwa sana na hupelekea mpaka dume likachanganya madawa na kuzidiwa (overdose) then u die kizeeeeembe. Lakini kinachotakiwa ni utumie mbinu za kujua hisia za mwenza ili yeye ndo afurahie zaidi. Namaanisha hivi jitahidi kumridhisha yeye zaidi japo afunge tano wewe ukiwa moja au mbili (siku zote inatakiwa tuwatangulize, maana beki au mlinzi hukaa nyuma)
Dah ninamengi ya kuandika lakini nahisi gumba zishachoka.
Maswali yanaruhusiwa ila staha ni muhimu.
Nawasilisha....