Huyu mchumba ana tatizo gani?

Meridah Tough

Senior Member
Nov 27, 2017
136
363
Habari zenu wakuu?
Mimi ni msichana na nipo kwenye mahusiano na mtu ambaye naona simuelewi.
Kiukweli nampenda sana ingawa sijui kama yeye ananipenda ingawa kuna muda anadai ananipenda pasipo hata kumuuliza kama ananipenda.
Mwanaume huyu tumedumu nae kwa mwaka sasa.
Tatizo lililopo ni kama vile kuna muda anakua hajielewi au anakua comfused.
Tunaweza kupatana sana text, calls kukutana ni all the time. Kumissiana ndio usiseme. Ikitokea tatizo tunashirikiana sana kwa pamoja hadi linaisha.
But furaha yetu uwa haidumu. Tunaweza kukaa hivyo kwa miez mitatu ila baada ya muda tu anaweza kuanzisha ugomvi hata wa kipuuzi tu mfano mara nya mwisho alikasirika kwa nini nilimuuliza kua kwa nini hakupokea simu yangu.
Hapo hata nikijishusha itakua ni ugomvi kwa miezi hata miwili, atanuna kama mtu aliyepania ugomvi uwepo kwa makusudi fulani.
Kuna kipindi nikaona kheri kuondokana na maisha haya. Kweli nilimuacha na maisha yake lakini baada ya miezi miwili or less alinipigia simu usiku wa birthday yake na kuniomba msamaha sana na kua hatorudia tena mambo yake.
Kweli nilimsamehe na tukakaa chini kuongelea nini kinachomfanya muda mwingine awe anakurupuka namna hiyo. Akaomba msamaha na kudai hatorudia hilo.
Lakini wiki iliyopita mambo yaleyale yamejitokeza. Hiyo haikupita muda hata wa wiki, akapata habari nzuri juu ya mambo yake ya kazini, haraka alirudi kunishirikisha ambapo tukawa kama watu ambao hatujagombana.
Baada ya kunishirikisha jambo lake, kama mtu aliyetua mzigo, ugomvi umerudi tena.
Wakuu mimi siamini kwenye kila tatizo ni kulikimbia, nataka kurekebisha na tuishi kwa furaha tena kama ilivyokua mwanzo.
Sijui nini cha kufanya hivyo naombeni ushauri wa kujenga. I am confused.
 
Hapo jamaa moyo wake haupo kwako anamatatizo mara nyingi huwa ni yakumkosa aliyempenda.Hapo analazimisha tu kukupenda ila mkioana hiyo shida ina kwisha.
 
Ki ukweli anakupenda na hio ndio tabia yake ni vigumu kubadilika.
Kama kweli moyo wako unampenda na hautaki kumpoteza basi mvumilie na uwe wa kwanza kujishusha na kumuomba msamaha hata kama mwenye makosa ni yeye.
 
Watu wamewahi seat faster.
Anyway...
Ushauri wangu ni kwamba nionacho huyo mwanaume yupo comfused na hali fulani ambayo wewe ndie mwenye uwezo wa kuijua.
Bado anakupenda sana na ndio mana anashindwa kutoka kwako moja kwa moja, kuna vitu vinavyomlazimisha yeye kubaki kwako ingawa pia anajilazimisha kuondoka kutokana na sababu fulani.
Ukifanya nguvu kuijua sababu hiyo ndipo utapata suluhisho la matatizo yako.
Ningekua mimi, kwa kua umeshajua tabia yake basi huna sababu ya kumkera kipindi hiki zaidi mtaendelea kubishana na kutukanana wakati hujui tatizo liko wapi. Unaweza ukawa unaongeza tatizo kwa kujaribu kusuluhisha kitu ambacho hakipo wazi bado.
Mpe muda, muache apite kipindi chake cha gubu kisha usubiri akutafute yeye. Atakapokutafuta usikubali kuendeleza mahusiano bila kusolve tatizo ambalo unajua lipo.
Kipindi ambacho mnasikilizana ndio kipindi cha wewe kuyajenga mahusiano bora. Tumia uanamke wako kujua tatizo liko wapi. Jaribu kusolve kipindi hicho ambacho mnafuraha na amani ili yasitokee tena.
Otherwise unaweza kujikuta mnaendeleza uhusiano wa namna hiyo forever, mwenzako ataoa na utaendelea kubaki mchepuko.
Zaidi kuwa na msimamo coz hata yeye atabadilika endapo utakua na msimamo.
 
Habari zenu wakuu?
Mimi ni msichana na nipo kwenye mahusiano na mtu ambaye naona simuelewi.
Kiukweli nampenda sana ingawa sijui kama yeye ananipenda ingawa kuna muda anadai ananipenda pasipo hata kumuuliza kama ananipenda.
Mwanaume huyu tumedumu nae kwa mwaka sasa.
Tatizo lililopo ni kama vile kuna muda anakua hajielewi au anakua comfused.
Tunaweza kupatana sana text, calls kukutana ni all the time. Kumissiana ndio usiseme. Ikitokea tatizo tunashirikiana sana kwa pamoja hadi linaisha.
But furaha yetu uwa haidumu. Tunaweza kukaa hivyo kwa miez mitatu ila baada ya muda tu anaweza kuanzisha ugomvi hata wa kipuuzi tu mfano mara nya mwisho alikasirika kwa nini nilimuuliza kua kwa nini hakupokea simu yangu.
Hapo hata nikijishusha itakua ni ugomvi kwa miezi hata miwili, atanuna kama mtu aliyepania ugomvi uwepo kwa makusudi fulani.
Kuna kipindi nikaona kheri kuondokana na maisha haya. Kweli nilimuacha na maisha yake lakini baada ya miezi miwili or less alinipigia simu usiku wa birthday yake na kuniomba msamaha sana na kua hatorudia tena mambo yake.
Kweli nilimsamehe na tukakaa chini kuongelea nini kinachomfanya muda mwingine awe anakurupuka namna hiyo. Akaomba msamaha na kudai hatorudia hilo.
Lakini wiki iliyopita mambo yaleyale yamejitokeza. Hiyo haikupita muda hata wa wiki, akapata habari nzuri juu ya mambo yake ya kazini, haraka alirudi kunishirikisha ambapo tukawa kama watu ambao hatujagombana.
Baada ya kunishirikisha jambo lake, kama mtu aliyetua mzigo, ugomvi umerudi tena.
Wakuu mimi siamini kwenye kila tatizo ni kulikimbia, nataka kurekebisha na tuishi kwa furaha tena kama ilivyokua mwanzo.
Sijui nini cha kufanya hivyo naombeni ushauri wa kujenga. I am confused.
Umedumu nae kwa mda unavyo muona ana dalili ya Ndoa kweli, isije kuwa unataka kumrekebisha mtu ambaye ana kuchukulia wa mara moja, mbaya sana kumpenda mtu ambaye kila mara analudia kosa.
 
Habari zenu wakuu?
Mimi ni msichana na nipo kwenye mahusiano na mtu ambaye naona simuelewi.
Kiukweli nampenda sana ingawa sijui kama yeye ananipenda ingawa kuna muda anadai ananipenda pasipo hata kumuuliza kama ananipenda.
Mwanaume huyu tumedumu nae kwa mwaka sasa.
Tatizo lililopo ni kama vile kuna muda anakua hajielewi au anakua comfused.
Tunaweza kupatana sana text, calls kukutana ni all the time. Kumissiana ndio usiseme. Ikitokea tatizo tunashirikiana sana kwa pamoja hadi linaisha.
But furaha yetu uwa haidumu. Tunaweza kukaa hivyo kwa miez mitatu ila baada ya muda tu anaweza kuanzisha ugomvi hata wa kipuuzi tu mfano mara nya mwisho alikasirika kwa nini nilimuuliza kua kwa nini hakupokea simu yangu.
Hapo hata nikijishusha itakua ni ugomvi kwa miezi hata miwili, atanuna kama mtu aliyepania ugomvi uwepo kwa makusudi fulani.
Kuna kipindi nikaona kheri kuondokana na maisha haya. Kweli nilimuacha na maisha yake lakini baada ya miezi miwili or less alinipigia simu usiku wa birthday yake na kuniomba msamaha sana na kua hatorudia tena mambo yake.
Kweli nilimsamehe na tukakaa chini kuongelea nini kinachomfanya muda mwingine awe anakurupuka namna hiyo. Akaomba msamaha na kudai hatorudia hilo.
Lakini wiki iliyopita mambo yaleyale yamejitokeza. Hiyo haikupita muda hata wa wiki, akapata habari nzuri juu ya mambo yake ya kazini, haraka alirudi kunishirikisha ambapo tukawa kama watu ambao hatujagombana.
Baada ya kunishirikisha jambo lake, kama mtu aliyetua mzigo, ugomvi umerudi tena.
Wakuu mimi siamini kwenye kila tatizo ni kulikimbia, nataka kurekebisha na tuishi kwa furaha tena kama ilivyokua mwanzo.
Sijui nini cha kufanya hivyo naombeni ushauri wa kujenga. I am confused.
Hiyo ndio tabia yake khalisi na ndio maana kila anapoomba msamaha na kuahidi kutorudia lakini mwishowe anafanya yale yale. Hivyo wewe ndio unatakiwa kuamua kama unaweza kuvumilia kuishi nae pamoja na hayo mapungufu yake au la, uwezekano wa kubadilika ni mdogo sana na wengi hawabadiliki sana sana ata ishi kwa kuigiza kuwa kabadilika but huwezi kuigiza kila siku!
 
Mkuu pole ila swali langu ni hili kwa kipindi hicho ambacho mmekuwa mmekwazana yeye anakuwa wapi kwa kipindi icho au yupo kwa mpenzi mwingine au lah
 
Tatizo dogo sana hilo. Nitumie namba yako kwenye private message ili nikupigie nikupe ushauri mzuri utakao dumisha penzi lenu bila ugonvi milele.
 
Habari zenu wakuu?
Mimi ni msichana na nipo kwenye mahusiano na mtu ambaye naona simuelewi.
Kiukweli nampenda sana ingawa sijui kama yeye ananipenda ingawa kuna muda anadai ananipenda pasipo hata kumuuliza kama ananipenda.
Mwanaume huyu tumedumu nae kwa mwaka sasa.
Tatizo lililopo ni kama vile kuna muda anakua hajielewi au anakua comfused.
Tunaweza kupatana sana text, calls kukutana ni all the time. Kumissiana ndio usiseme. Ikitokea tatizo tunashirikiana sana kwa pamoja hadi linaisha.
But furaha yetu uwa haidumu. Tunaweza kukaa hivyo kwa miez mitatu ila baada ya muda tu anaweza kuanzisha ugomvi hata wa kipuuzi tu mfano mara nya mwisho alikasirika kwa nini nilimuuliza kua kwa nini hakupokea simu yangu.
Hapo hata nikijishusha itakua ni ugomvi kwa miezi hata miwili, atanuna kama mtu aliyepania ugomvi uwepo kwa makusudi fulani.
Kuna kipindi nikaona kheri kuondokana na maisha haya. Kweli nilimuacha na maisha yake lakini baada ya miezi miwili or less alinipigia simu usiku wa birthday yake na kuniomba msamaha sana na kua hatorudia tena mambo yake.
Kweli nilimsamehe na tukakaa chini kuongelea nini kinachomfanya muda mwingine awe anakurupuka namna hiyo. Akaomba msamaha na kudai hatorudia hilo.
Lakini wiki iliyopita mambo yaleyale yamejitokeza. Hiyo haikupita muda hata wa wiki, akapata habari nzuri juu ya mambo yake ya kazini, haraka alirudi kunishirikisha ambapo tukawa kama watu ambao hatujagombana.
Baada ya kunishirikisha jambo lake, kama mtu aliyetua mzigo, ugomvi umerudi tena.
Wakuu mimi siamini kwenye kila tatizo ni kulikimbia, nataka kurekebisha na tuishi kwa furaha tena kama ilivyokua mwanzo.
Sijui nini cha kufanya hivyo naombeni ushauri wa kujenga. I am confused.
we kaa tu hapo ,unatengenezewa zengwe ukija kuachwa usilalamike,bora uchukue hatua mapema.
kwani we una kasoro yoyote labda ya kimaumbile useme utakosa wanaume ?
 
Back
Top Bottom