Wanaume wanataka nini?

Wanaume wanataka nini?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
61,614
Reaction score
126,270
Habari za usiku huu great thinkers
Leo nimekuja niwaulize ninyi wenzetu wa upande wa pili..... Mnataka nini? Maana kila analofanya mwanamke ninyi mnakosoa tuu...hamnaga jema. Nitatoa mifano michache....

Mwanamke akiamua kujitoa kwako akawa anakupikia,anakufulia na kukufanyia usafi mwingine mnamnanga eti hajitambui.....atajitoaje hivyo kwa mtu hajamtolea mahari. Ikitokea mwanamke akawa kauzu akasema well sitafanya chochote hata ningekuja geto nikakuta hakujafanyiwa usafi,una njaa au una nguo za kufua najifanya sioni naondoka kama nlivyokuja....mnahamaki na kudai et sio waifu material....

Mfano mwingine ni kwamba mpo kwenye mahusiano....huyu bidada anaamua kukupa vyote....hadi vile vinavyowahusu wanandoa bila hiyana...inageuka kuwa sababu ya kumshusha na kumwona hana msimamo.. Ikitokea akabana mnahamaki...ooh unataka kumuuzia nani mbuzi kwenye gunia...
Mengine mtaongezea

Ushauri wangu kwa wanawake wenzangu....
My dia fanya kile moyo wako unapenda sio kufanya ili kuwapendeza hawa viumbe. Simamia kile unachokiamini na kama ukiamua kufanya jambo fanya kwa sababu unafurahia na sio kwa lengo la kum-impress mtu maana hata ikitokea ikawa ndivyo sivyo no regrets. Inaumiza sana kama ulikuwa unafanya jambo kwaajili ya kumfurahisha mtu na kumbe yeye anaitazama bidii yako in a negative way. Tulio wengi tuna imani zetu za kidini,wengine wana misimamo yao wao kama wao binafsi.....simamia hapo...
Ni hayo tu. Usiku mwema
 
mi nachojua wanaume ndo watu wanawake ndo viumbe.
 
Try to become more aware of your own perception of others
 
ni wewe tu una bahati mbaya unapata level zako... usilaumu.. jaribu kupanda level utapata wa level ya juu kdg
 
Tatizo mnakimbilia ma-play boys, kisa wanafanya kila kitu hata visivyostahili....!? Njoo kwangu upate pumziko la moyo mama.
 
Kwan ww unafanya yote hayo kwa ajili yako sio yenu wote wawili?

Lengo linakuwa kwaajili ya wawili na unapofanya unategemea na upande wa pili uwe na shukrani. Not only that....wakati mwingine unaweza ku-ignore feelings zako na kumpa kipaumbele mwenzio ukitegemea utarudishiwa shukrani. Matokeo ikiwa viceversa maumivu yake si madogo
 
Try to become more aware of your own perception of others

Kama nimekupa,af kama sijakupata vizuri vileeee.....jazia nyama kidogo mkuu si unajua tena lugha ilikuja na ndege hii
 
ni wewe tu una bahati mbaya unapata level zako... usilaumu.. jaribu kupanda level utapata wa level ya juu kdg

Asante kwa ushauri mkuu ila naona kama unaanza kunijadili mimi badala ya topic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom