Ndio kuachwa kupo na ukiachwa achika ila kuna vitu huwa vinakupa furaha sana baada ya kuachana ntavitaja baadhi kama unacho utaongezea
1. yani mmeachana ila x wako anaanza kupauka huwa inaleta...
Kaka yake rafiki yangu anataka kumuoa msichana wa wa zamani wa mdogo wake
Mahusiano kati ya rafiki yangu na yule msichana yalivunjika mwaka mmoja na nusu uliopita, kabla ya sasa kukutana na kuanza...
HERI Ya sikukuu kwenu wote ni matumaini yangu kwamba wote kwa wingi wenu mmesherehekea na mnaendelea kusheherekea sikukuu kwa Furaha na amani tele, bila kupoteza muda ni vyema nikaweka mada...
1. Wasukuma ni kabila kubwa kuliko yote Tanzania. Mikoa ya Simiyu, Tabora, Shinyanga, Geita, Mwanza kote huko ni usukumani.
2. Usukumani siyo lelemama, kuna Kazi nyingi kama kushinda shambani...
Beki 3 wangu nilikuwa namtazama kwa jicho la husda kitambo sana, ila jana usiku wife alienda kwenye sherehe gani sijui ikabidi nitumie mwanya huo kumtafuna.
Nikaenda chumbani kwake, nikamchombeza...
Nakumbuka siku za nyuma kulizuka ugomvi wa kukata na shoka, ugomvi ulikuwa wa kugombea mwanaume.
Napenda kujua nani alishinda na nani alishindwa? Maana jamaa inasemakana wakati ana gombaniwa...
Ni manzi pini kiasi chake. Ila ugomvi wake mkubwa anakasirika simpost kwenye mitandao ya kijamii.
Mi namwambia, baby we nimekupost kwenye moyo huko kwenye mitandao sio kipimo cha upendo, hanielewi...
Biblia inasema Mwanamke ataachana na wazazi wake na kuambatana na mmeo.
Kwao alikuwa anakula vizuri,analala vizuri,kakufuata,kumlisha na kumpa mahitaji ni wajibu wa mwanaume.
Wanawake wengi...
Heshima kwenu wakuu
Leo nimependa tushauriane kwenye mitazamo hii
Nianze tu kusema naamini kuoa/kuolewa bila kuweka misingi imara ya kuhakikisha maisha ya wawili au watatu yaani familia...
SIMULIZI........BALAA SIMU-0757633010
MWANDISHI..HALFANI SUDY
SEHEMU YA KWANZA
KILWA KIVINJE, mwaka 1989.
Ilikuwa tarehe kumi na tano, mwezi wa nne, mwaka elfu moja mia tisa themanini na tisa...
Habari zenu wana JF, ni matuamini yangu mpo salama na mnaendelea na pilika pilika za kumalizia maukoko ya pilau za Krismasi na kufurahia Boxing day.
Naelekea kumaliza mwaka vibaya jambo ambalo...
Hii iwe kama wakeup call wa nyie wanawake mliozaliwa miaka ya 90.
Mwakani madogo wa mwaka 2000 wanaanza kushika hatamu, maana wanakua legally edible, mwakani madogo wa 2000 kama hasomi anakua...
Ilikuwa nikitongoza mwanamke ambaye nimempenda Sana halafu akanikataa roho inauma sana Kias kwamba naanza kupata tatizo la pressure kushuka.unakuta hapo nimetumia mbinu zote nimerusha mabomu yote...
Mwaka mpya kwangu mimi naupokea nyumbani halafu kesho yake nashukuru kwa kila jambo basi naenda outing kufurahia mwaka mpya.
Je wenzangu mnampango gani???
Salaam wakuu wote,
Kwani hakuna namna ya kuzuia usaliti? Na kwanini unasaliti mwenzio wakati ulimkubali na ukaridhika na kila kitu toka kwake ama ni muda mchache unautumia kumchunguza tabia zake...
DONDOO:
Ø Je ushawahi kumsikia mtu akisema ‘Na mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo' wakati mtu mwingine anapozungumza jambo fulani?
Ø Je kuna wakati umeshawahi kujisikia kama huna furaha na...
hello wana MMU,
ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nakuja apa jukwaani kutafuta mwanamke wa kuoa,
umri ni kuanzia miaka 18 hadi 27.
kwa aliye tayar njoo Pm
nawasilisha
Za asubuhi hii wadau wa hapa.
Leo nimejikuta nawaza na kudharau siku nilipoamka asubuhi kwenda kupiga kura.. na kibaya zaidi hata kanisani sikwenda.
Yaani Mtu anatoa tamko kuwa watu wasifanye...
Mimi nina muda flani toka nimeoa, kama kawaida sisi wanaume wa kibantu huwa tukishaoa bado kipindi flani tunahitaji kubadilisha ladha hivyo tuna chepuka mara moja moja na kurudi njia kuu kuendelea...
Jana kuna mdada nilimtongoza ilikuwa majira ya jioni hivi, usiku tukachat kidogo tukapumzika kama ilivyo kawaida kwa wapenzi wapya, ile naamka asubuhi ni salaam tu nahisi ndo ilikuwa ya kwanza...