Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu waungwana,bila Shaka mpo salama Poleni Na Heka Heka za sikukuu... Kuna story nataka kushare nanyi,ni tukio la kweli lilinitokea tarehe 28/12/2015.....Mkasa unaanza nipo Ubongo ndani...
5 Reactions
44 Replies
13K Views
Ndugu zangu poleni na kazi. Leo kijiweni keetu kulikuwa kuna ubishi. Topic ilikuwa kupenda ngono. Kuna baadhi yetu walikuwa wanasema waafrika wanapenda ngono na wsnafanya ngono kuliko watu wa...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Jamani wazima nyie hii mada nimeona sehemu mbalimbali ikizungumzwa ila kwa sahivi tunaomba wanaume mtupe ya uvunguni yenu hivi unajisikiaje au unafeel vipi mkeo/demu wako akikata kiuno kwenye sita...
7 Reactions
282 Replies
134K Views
Ukubwa hauna ngoma ya utambulisho, kadhalika uzee hauna parapanda. Pindi yanapokufika basi utayaona na huna budi kuyakubali. Hayupo awaye yote aliyejaribu na kufanikiwa kukwepa majukumu haya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau,napenda kufahamu sifa za wasichana wa kindamba,maana kuna mmoja nataka kuanzisha mahusiano nae ya kimapenz..Nitashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
55 Replies
14K Views
Nina baadhi ya wanangu katika harakati zao za kufukuzia mamanzi hubadili hadi majina yao. Binafsi hilo lilinishindwa, nataja tu jina langu halisi. Vipi na wewe, ushawahi badili jina lako katika...
3 Reactions
74 Replies
5K Views
Yafuatayo yanaongoza kusababisha mapenzi na ndoa kulegalega na kufa: 1. Mpenzi kuombaomba vitu (pesa, msaada, vitu) kila wakati kwa mpenzi asiyekuwa na kipato au mwenye malengo ambayo...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Yaani hili nimelisema wazi kabisa bila kumung'unya maneno... Tabia za watoa ushauri wengi zinafanana... UNAKUTA WANAPENDA KUTOA USHAURI KWENYE DIFFICULT SITUATIONS ZA WATU KWA MAMBO AMBAYO...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Habari za Leo wanajamii. naitwa Philip wa Dsm nimekutana siku za karibuni na binti mmoja ambae nimetokea kumpenda na ninamalengo Mungu akitujalia awe mke wa ndoa. sasa naomba ushauri kama kuna mtu...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Habari Jana nilileta uzi wa yule binti niliyesafiri nae kwenda mwanza nikamtongoza ndani ya gari akakubali. Nashkuru kwa ushauri wenu, nilifanikiwa kumgegeda vilivyo. Pamoja na kwamba tulichoka...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Waungwana juzi kati nlikua town nasafisha macho kidogo,asa nkaingia duka flani hivi limesheheni vyupi vya wanawake nkaingia kucheka kama naweza kumpatia mama watoto angalau kazawadi ka skukuu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau!? hopefully mpo POA sio?, Imekua muda mrefu kidogo but all good Merry Xmass fellas. Nisipoteze muda niende kwenye content... Well two weeks ago had to travel to Dodoma for...
12 Reactions
44 Replies
6K Views
Wadau, salaam sana. Imetokea akatika maisha yangu ya uhusiano mara tatu kwa binti mmoja. Kutoka kwa mashemeji (rafiki zangu wa kiume niliokuwa nao chuo) WaKwanza:Kila siri yangu niliyokuwa...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Habari wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 29 nimeoa mke ana miaka 24 ,tuko kwenye mahusiano kwa miaka mitano sasa tumebarikiwa watoto wawili. History yangu na huyu mwanamke nilikutana naye akiwa...
16 Reactions
204 Replies
24K Views
Imenishangaza tena. Ni mara ya pili sasa mdogo wangu ameenda katika dispensary maarufu ya Meno, pale SDA- Njiro Arusha na katika mchakato wa kulipia hela ya kumwona Daktari akaulizwa " Yeye ni...
8 Reactions
182 Replies
20K Views
Wakuu, Nilishaapa kuwa sitakuja kutembea na house girl nyumbani kwangu, kwasababu ni kumkosea kabisa heshima mke wangu. Tumeishi miaka saba na mahouse girl wawili tofauti ambapo sikuwahi fikiria...
9 Reactions
203 Replies
14K Views
Asalam aleikum wanaJF Niseme tu toka nimeanza mchezo huu wa mahabat asilimia 90 ya wanaume wanaonitongoza na ninaodate nao ni makabila haya. Ulifika hadi mda nikajiuliza kwanini lakini hadi leo...
8 Reactions
286 Replies
39K Views
Waendesha bodaboda wao huwa hawatoi pesa, wanahonga lift tu. Demu anapewa lift kutoka Mbezi Mwisho mpaka Ubungo anaona kama booooonge la safari kumbe jamaa katumia mafuta ya buku mbili tu...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Mke kavaa stokings zinazofanana na nyoka aina ya black mamba ili amtishe mumewe, akasinzia kitandani huku miguu inayofanana na vichwa viwili vya nyoka vikichungulia. Mume akatoka nje kimya kimya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji kujitoa out jioni kiwanja gani kikali naweza kwenda ikanikosha nafsi yangu hasa night club, nafikiria kwenda Micasa Lounge Ubungo ila sijui iko vipi
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…