Nikiwafata wenye 26 - 30 wengi wanazingua sana. Lakini vitoto vya 21-22 nang'oa kirahisi sana. Na mimi napenda waliokomaa akiri ili tuende sawa maana nipo kwenye 30 something.
Nini inaweza kuwa...
Tarehe kama ya leo miaka kadhaa ilikuwa ni siku nzuri sana kwangu,japo nilikuwa bado mtoto ila amini ulipozaliwa tu moyo wangu ulipata furaha ambayo sikujua ilitoka wapi.
Utotoni mwangu nilikuwa...
NYUNDO NZITO KWA WADADA,
Umepata Mume, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha,
Jamaa Alikuwa hataki kukupeleka lkn mwishowe akaona...
Katika gazeti la Mwananchi la leo tarehe 18/8/2013, limeripoti kwamba, katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa mkoani Kilimanjaro wamelazimika kutumia mifuko ya rambo (Malboro)...
Sometime in 1995, my father told me this, " To know is a blessing and to do not know is a curse ". Akaendelea kusema, " mtu mmoja siyejua kusoma,akiwa amechoka sana, alikaa kwenye...
Kuna hii habari ambapo mzazi anampeleka mtoto kufanya kazi za ndani sehemu. Unakuta huyu mtoto ni chini ya miaka 18. Cha ajabu ni kuwa mzazi ndiye anayekuwa anachukua mshahara au wanapokezana na...
Mwaka umeanza. Ndio kwanza mwaka mbichi. Natoa nafasi nyingine tena tuweze kuelimishana mambo mbalimbali juu ya tendo nyeti. Tendo la ndoa.
Njoo hapa uulize swali lolote juu ya tendo la ndoa...
BI MKUBWA
( sehemu ya 1 )
Ni mwanamke ambaye alikuwa akiwanga usiku kila chumba katika nyumba yetu iliyokuwa jijini Arusha. Nilikuwa naogopa kumwambia mume wangu kuhusu uchawi wa mama ake na tabia...
Marafiki na members wote salamu kwenu na heri ya mwaka mpya, ama baada ya salamu naomba kwenda kwenye mada husika hapo juu ikichagizwa na maelezo haya:
Nipo kwenye uhusiano na wanawake watatu tu...
UMUHIMU WA MAWASILIANO
Hakuna linaloweza kufanikiwa pasipo mawasiliano. Tambua kwamba mawasiliano ni kati ya nafsi na nafsi – hivyo nafsi zisipokuwa na mawasiliano ina maana miili inayobeba nafsi...
Jaman habarini!!! kuna mwanamke anashida ya kupata mtoto sasa kaniomba nimpe mimba, sasa tangu wiki iliyopita kuna mtu wangu namgegeda mpaka leo sijapumzika hata siku moja, tatizo linakuja...
....Amber Ruthy kaolewa na jamaa yake, Ukipita kwa mitandao ya kijamii watu mapovu kibao na mbaya zaidi Wanajifanya Kama lile tukio ni baya Sana kama Kaua.
...Ajabu ni kwamba Wao wanyewe wengi wao...
Mim ni binti wa miaka 27, Kabila langu ni Mbena,
Mimi ni Mwalimu wa Sekondari dini yangu ni Mkristo. Sina Mtoto natafuta mume awe Mkristo na awe tayari kubeba majukumu kama Baba, awe tayari...
Wakuu,
Nimekuwa nikafatilia sana maisha ya masister wa katoliki, masister (wengi) wana haiba ya upole sana, wanafanya kazi kwa bidii na wana upendo kwa watu wote.
Naamini nina vingi vya...
Amani kwenu wadau wote wa MMU
Jambo la kwanza ninamshukuru MUNGU kwa neema yake aliyonipa ili niwaletee uzi huu.Ndugu wapendwa ninajua ya kwamba MUNGU anatupenda sana, ili atukomboe katika...
Aisee nipo Mbagala huku, mamanzi wanakamua Safari Lager kama maji. Naogopa hata kuopoa hapa aiseee.... Hawa wanaeza kukuua kitandani kabisa. Me nakunywa Senge nyeusi.
Sent using Jamii Forums...