Sasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali
Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa
Na sasa jamani...
Huu Ni ushauri kwa vijana wenzangu ambao tunatarajia kuwa na watoto siku/miaka ya karibuni na hasa baada ya kufunga ndoa.kama mnavyojua Hawa wanawake wetu wana Siri nyingi walizobeba kuhusu baba...
Habari za mwisho wa mwaka,
Habari za mchana wapendwa wote wa humu MMU,
Habari za siku mbili tatu nilizopotea humu....
Nipo nimejaa tele likizo imeninogea basi nazunguka kila mahali kigulu na...
Wengi wanasema mapenzi no upofu hakika nimeamini hizi kauli za wahenga wetu...
Huyu dada nimempenda sana,wengi wanamponda wanaomjua wanamsifia sana.
Huyu dada ana elimu nzuri ya chuo na ya mtaani...
Habari za majukumu wapendwa. Niliwahi kudadisi kuhusu njia za uzazi wa mpango hususani wanazotumia wanawake kama ya vidonge, vijiti, vitanzi, na kuyapata matokeo ya walio wengi wakilalamikia...
Leo nitatoa ushauri wangu kwa ufipi tu na siku nyingine nitatoa kwa urefu kwa kutoa simulizi ya mikasa niliyopitia na mafanikio niliyopata katika maisha yangu.
Ushauri wangu ni kwamba ukitaka...
Wadau nina katabia ka kupenda kina dada wenye makalio makubwa na laini, kila nikijaribu kuacha haipiti mwezi nafeli, na mazingira ya kazi haşa nadeal na jinsia Ke kwa sana. Nifanye nini kuachana...
Shukrani za dhati zimwendee mwenyezi Mungu kwa kunisaidia kuingia mwaka mpya.
Kiukweli kwa sasa naishi kama nusu mfu.Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa sina uhakika kama nitaweza kuiona siku ya...
Hello wadau.
Wife kasafiri since mwezi wa 11 mwaka 2018 kwenda kwa Wakwe zake kwa maandalizi ya kujaza dunia
Ni matumaini atarejea baada ya miezi 6, nimejitahidi kuishi bila kusex kwa miezi 2...
Hii ni wiki yaa pili sasa tangu nimeacha huu mchezo wa CHAPUTA ingawa sio kazi lahisi sana lakini ninajikaza sana,ninafanya mazoezi,ninakuwa busy,pia nimeacha kabisa kumuangalia Mia khalifa...
Naombeni jamani tusaidiane hili. Mume wangu alikuwa masomoni nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili, amerudi hivi karibuni. Aliporudi kanunua line ya Airtel ambayo ndio ninayoifahamu. Mie sikujua...
Nilimpenda na kumuweka wazi kuhusu kumuoa, alinikatalia kwa kigezo cha dini, sasa kakubali rasmi mimi kuwa mchepuko wake na sina hiyana kwa kuwa bado cjapata mke ngoja niendelee kuchipuka, ingawa...
Nikiwafata wenye 26 - 30 wengi wanazingua sana. Lakini vitoto vya 21-22 nang'oa kirahisi sana. Na mimi napenda waliokomaa akiri ili tuende sawa maana nipo kwenye 30 something.
Nini inaweza kuwa...
Tarehe kama ya leo miaka kadhaa ilikuwa ni siku nzuri sana kwangu,japo nilikuwa bado mtoto ila amini ulipozaliwa tu moyo wangu ulipata furaha ambayo sikujua ilitoka wapi.
Utotoni mwangu nilikuwa...
NYUNDO NZITO KWA WADADA,
Umepata Mume, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha,
Jamaa Alikuwa hataki kukupeleka lkn mwishowe akaona...
Katika gazeti la Mwananchi la leo tarehe 18/8/2013, limeripoti kwamba, katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa mkoani Kilimanjaro wamelazimika kutumia mifuko ya rambo (Malboro)...
Sometime in 1995, my father told me this, " To know is a blessing and to do not know is a curse ". Akaendelea kusema, " mtu mmoja siyejua kusoma,akiwa amechoka sana, alikaa kwenye...
Kuna hii habari ambapo mzazi anampeleka mtoto kufanya kazi za ndani sehemu. Unakuta huyu mtoto ni chini ya miaka 18. Cha ajabu ni kuwa mzazi ndiye anayekuwa anachukua mshahara au wanapokezana na...