Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wana jf,, jumapili moja dec 2018 Nimetoka home jion naelekea kumuona mpenz wangu nikiwa na usafir wangu pkpk XLR bas nikiwa njian nyuma kulikua na gari aina ya Subaru, njia niyokua napita ni...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
kama upo JF tafadhal nakuomba mana kaaahhhh umenibamba!!!! 2019 hii!!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nakumbuka nikiwa primary tulikua na utaratibu wa kwenda usiku shuleni kwa ajili ya masomo ya ziada, siku moja kama saa mbili usiku hivi tupo njian tunaelekea shule wakatokea watu ghafla na...
1 Reactions
112 Replies
11K Views
Niende kwenye mada moja kwa moja,nawauliza nyinyi dada zetu.. Mnapo amua kuvunja mahusiano,na kwenda kwingine.. Huwa mnasahau nini huku mliko toka? Maana hamkomi kupiga simu na kutuma sms, eti...
17 Reactions
105 Replies
9K Views
Naomba niwambie kuna waliobahatika wakaoa wanawake hapa katika hili jukwaa! Ila nikwambie ukibahatika ukaoa mwanamke anayeifahamu JF ujue lazima upigwe tukio maana wanawake wahumu ni kama makuli...
23 Reactions
146 Replies
13K Views
Ni ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa barara, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala...
51 Reactions
457 Replies
31K Views
Hivi inakua vip unakua upo kweny uhusiano wa kimapenzi na mtu ambae unajua hautakua unamuamin!?? Sometimes unakuta watu wanapigizana kelel hat mbele za watu Kisa wivu wa ajabu kwanini eti kwann...
2 Reactions
5 Replies
942 Views
Ndo ivo... Inauma sana kidume umejikakamua kumpeleka dem South au Uarabuni mkale bata. Mnapiga picha nyingi but yeye atapost zile ambazo yuko peke ake. Sponsor hapostiwi. Hivi unategemea sponsor...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
-Yeah..naelewa Mungu alitukabidhi hawa viumbe.,.mwanaume ndio kichwa cha familia, mwanamke anapaswa kumtii mwanaume...n.k Siko hapa kutetea makosa wanayofanya wanawake haswa wa kizazi hiki, ila...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumekuwa na kundi kubwa la baadhi ya wanawake kubadili majina yao halisi pale siku ya kwanza unapomtokea. Baada ya siku kadhaa ndio unaweza kuja fahamu jina lake halisi. Sijui huwa kuna nini...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana Jf Natumai mu wazima wa afya. Uzi wangu unahusiana na changamoto tunayokabiliana nayo sisi tusiooa bado. Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya wake za watu kuwakana...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Umeumwa sikio na watu unaowaamini lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja kua kuna jamaa anamtafuna mkeo au mpenzi/demu wako umpendae haswaa. Mara kadhaa unakutana na huyo jamaa mtaani au kazini...
2 Reactions
104 Replies
9K Views
Nahitaji binti awe tayari kuwa rafiki yangu ili kwanza tufamiane kwa kina na kama mbeleni tutapendezana then twaweza kuwa wachumba. MUHIMU: -kwa wale wadada wasiokuwa na nia ya mapenzi ya kweli...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
...Natuma salam kwa wanawake na wanaume wote ambao hamjapokea hata sms za salamu za wapenz wenu leo... SALAMU kwa wanandoa mlionuniana usiku, Salam kwa Jamaa zangu mliopiga match kisha mkakumbuka...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Kwa wale mliobahatika kuona Uzi wangu leo asubuhi nikimtaarifu mwanajamvi mwenzetu awahi kurudi nyumbani kwake kwani kuna jamaa kaingia ndani kwake kumbe jamaa aliona uzi wangu. Kama dakika 45...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
107 Replies
8K Views
Wakuu natumaini ni wazima wa afya. Nakuja mbele yenu kwa unyenyekevu na majozi makubwa sana maishani mwangu. Mwaka 2013 tuliazisha mahusiano na binti mmoja tukapenda sana. Katika kuwa naye kwenye...
5 Reactions
222 Replies
21K Views
Nataka msaada kidogo tutani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya watu wengi wao wanaotoka kweny familia duni Wakishaanza kupata njia ya mafinikio au wamefanikiwa wanaanza dharau au maringo hat kwa baadhi ya ndugu zao hat jamaa zao ,wengne...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
HIVI MADEMU HII AKILI YA KUTOPOKEA SIMU AU KUZIMA SIMU... HIVI KWANINI HAMPENDI KUONGEA UKWELI...SEMA TU UKWELI...SIKUPENDI, SIKUTAKI...AU SITAKI...SITOFIKA...USIJE... JUST SEMA UKWELI...KULIKO...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…