Kuzimiwa simu...

Kuzimiwa simu...

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
HIVI MADEMU HII AKILI YA KUTOPOKEA SIMU AU KUZIMA SIMU...

HIVI KWANINI HAMPENDI KUONGEA UKWELI...SEMA TU UKWELI...SIKUPENDI, SIKUTAKI...AU SITAKI...SITOFIKA...USIJE...

JUST SEMA UKWELI...KULIKO KULETA USUMBUFU...SIJUI KIPI KINAWASHINDA KUSEMA UKWELI...YAANI AKILI ZAO ZILIPOISHIA NI KUTOPOKEA SIMU AU KUZIMA SIMU...

HII INAKERAGA SANA...MIMI MDADA AKINILETEAGA HIZO...AKIWA NA SHIDA AKINITAFUTA NA YEYE NAMFUNDISHA ADABU...

SEMA TU NAOMBA USINITAFUTE, UNIACHE...JUST BE FRANK...

Hii tabia ya wadada wanafanana karibia wote...hebu elezeni hapa ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barabara kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakera sana mkuu mfano we ni mfanyabiashara ( haya maduka yetu ya mkononi) mtu anakuagiza njoo muda fulani saa kumi niletee bidhaa ukishuka mwenge nipigie, mwenyewe unajibeba mpaka mwenge unafika piga piga na wewe mtu hapokei unakaa saa nzima unaamua kurudi zako mbagala baadae anakutafuta eti samahani simu ilikuwa kwenye mkoba sikusikia inaita unatamani umporomoshee mitusi

Basi tu mwingine alikuwa anatest zali akiona namna gani vipi anakuzimia simu kabisa! Kwenye sehemu ya biashara tunaweza kuichukulia kama easy go ila inaboa kishenzi aisee.... Mimi bora mtu anitukane kulikoni kuzimiwa simu au kutopokea smu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Wanakasumba Moja .. SITAKI NATAKA...

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
 
Kwanza tuweke rekodi sawa,kama mtu alinunua simu kwa pesa yake,akaenda kusajili laini na akaiwekea vocha basi anayo haki ya kuizima na kuiwasha anapojiskia,na anahaki ya kupokea ama kutopokea simu yoyote anayopigiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee tuseme kwa sababu mtu mwili ni wa kwake ana haki ya kujipaka ma.vi akapanda daladala akaenda hadi ofisini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakera sana mkuu mfano we ni mfanyabiashara ( haya maduka yetu ya mkononi) mtu anakuagiza njoo muda fulani saa kumi niletee bidhaa ukishuka mwenge nipigie, mwenyewe unajibeba mpaka mwenge unafika piga piga na wewe mtu hapokei unakaa saa nzima unaamua kurudi zako mbagala baadae anakutafuta eti samahani simu ilikuwa kwenye mkoba sikusikia inaita unatamani umporomoshee mitusi

Sent using Jamii Forums mobile app
OK. Biashara kama hizi sawa. Huyo ni mteja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee tuseme kwa sababu mtu mwili ni wa kwake ana haki ya kujipaka ma.vi akapanda daladala akaenda hadi ofisini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.

Na pia nlichofanya ni kufahamisha juu ya haki za mwenye simu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vinaendana maana hata mwili wako ni personal. Mnapokuwa mmekubaliana watu wawili jambo hapo si suala la simu ni ya nani ila unawajibika kuiweka hewani maana mmekubaliana kuwa mtapigiana, hapo chenye nguvu ni makubaliano wala sio simu tena. Kama hauna makubaliano yoyote simu yako ni yako mwenyewe waweza hata kuzima mwaka mzima na hakuna mtu wa kukukoromea labda sanasana utaulizwa na wale wanaokujali. Mfano wangu niliotoa nilikuwa namaanisha suala linaweza kuwa ni la kwako binafsi lakini likasababisha usumbufu mkubwa kwa watu wengine

Mkuu tuelewane kwanza mimi sijatetea tabia ya kuzima simu au kutopokea simu sababu hata mimi pia inanikera,mie nimesema tu ni haki ya mmiliki wa simu kupokea ama kutopokea na kuzima ama kutozima simu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom