Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nicheki pm tuyajenge hasa maswala ya namba hasa whatsapp
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
kiukweli nimechoka kuwa single miaka yangu ni 23 nipo mkoa wa DSM nime maliza chuo pia sjawahi kukutana na mwanaume ninayo tu.
6 Reactions
100 Replies
8K Views
Ni kule kule kwa akina Hurem mke wa Mtukufu Sultan Turkey , Mdogo wangu anasoma kule mwaka wa pili sasa, So kihoja kimekuja baada ya mwezi wa 12 mwaka uliopita kurudi kwa likizo ya muda mfupi...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Nahitaji kujuwa vitu muhimu ambavo ukiwa navo uwez sumbuliwa katika mipaka ya nchi wakati was safari ya kwenda south Africa mwenye kujuwa juu ya ili msaada tafadhali, na wale pia waongea shombo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Unakaribisha sana Ndugu zake Kwako kuliko Ndugu zako 2. Ukiwa unakaribia kurudi Kwako Kwanza unajificha mahala Kufuta Meseji zako zote 3. Mkiwa mmelala Kitandani humuombi Penzi hadi aamue Yeye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hamjambo wakuu, Nyie mnawaida wabaya ila mi kwangu hakuna mwanamke mbaya , Kwanza ni wachapakazi wazuri sana, Ni waaminifu sana kwenye suala la ndoa, Hawana madharau hata kidogo, Wanajua...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Usioe usioe narudia tena mpendwa usioe!! - Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea usioe - Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana...
6 Reactions
45 Replies
14K Views
UFUSUKA ni tabia ya uasherati, uzinzi, anasa za ngono..n.k So.. Mungu amekujalia umeoa, unafurahi ndani ya ndoa, umepata watoto, una uwezo wa kujimudu kiuchumi...n.k Muda baada ya muda, unaanza...
34 Reactions
133 Replies
14K Views
Ni mara nyingi tu tumesikia juu ya Taarifa za matukio ya wanaume kuwaua wenzi wao na kutokomea kusikojulikana ingawaje wengi wao hukamatwa baadae na vyombo vya dora, Pia baadhi ya wanaume baada ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wakuoa. Vigezo. Awe chin ya miaka 24. Awe amepata O level angalau C ya mathematics Dini awe mkristo. Aliye tayari aje PM tutongea. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Hello guys Kuna baadhi ya hawa vibabu wenye miaka 60 kwenda juu wanagegeda wadada wengi kuliko sisi vijana, for eg nilishuhudia jinsi babu yangu alivokuwa anagegeda kuanzia vibinti vya shule ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
So, nilikuwa zangu safari (ya kikazi hivi) pori flani kwene mgodi (sifanyi kazi na madini wala migodi, just ulikuepo tu). Nimepiga kazi hapo kama wiki hivi kwa masaa kama 14 ya siku. Jioni naenda...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Mambo mengine ni ya ajabu sana na yanakera sana. Hivi unapoingiza mividole yako yenye kucha ndefu kwenye papuchi laini ya mtoto wa kike unakuwa unategemea nini? Ile ni ngozi laini jamani tuwe na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Vigezo Umri Kuanzia 32 Elimu at least form six Kazi:Haijalishi Umbo at least la kiafrika Urefu wa kawaida Alietayari aje PM
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Asprin babe tell me it’s true ohhh ooh ooh I love you
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wasalaaam wadau wangu wa MMU ... Rejea kichwa Cha habari hapo juu wasichana wengi mnao maliza vyuo hamko romantic na hamjui majukumu yenu mnapokua na wapenzi wenu ukiringanisha wanawake wenye umri...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Je unaijua hii Ubora wa baba hauonekani katika mali zake nyingi ulizonazo, magari majumba, ndoto nyingi, mawazo na malengo mengi big noooo Baba aliyebora ataonekana tu inapotazamwa familia yake...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kwa miezi kadhaa nimekuwa katika hali ya kukosa Raha baada ya kubaini katika wanawake nilioshirikiana nao Wanne wanadaiwa kuwa waathirika. Mmoja kati yao nina uhakika wa 100% kuwa anatumia...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Wapwaz and Binamuz.Salaam sana. Kwa takribani miezi sita sasa sijahudhuria jukwaa letu pendwa MMU as I used to be.Nimewamiss marafiki wazuri niliowapata kupitia Jukwaa hili.Jukwaa la...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…