Wanaume wa Dar ni Imara katika ku-handle ishu za Mahusiano ukilinganisha na wanaume wa mikoani

BLACK_WIDOW

Senior Member
Nov 17, 2018
133
318
Ni mara nyingi tu tumesikia juu ya Taarifa za matukio ya wanaume kuwaua wenzi wao na kutokomea kusikojulikana ingawaje wengi wao hukamatwa baadae na vyombo vya dora, Pia baadhi ya wanaume baada ya kufanya matukio hayo ya kinyama huamua kujiua ili kukwepa mkono wa dora, Sababu kubwa ya kufanywa kwa vitendo hivi ni "WIVU WA KIMAPENZI". Na tukiegemea kwenye ukweli asilimia kubwa ya matukio haya hutoakea maeneo ya bara (maarufu mikoani ). Sikatai hata Dar hutokea ila ni kwa kiwango kidogo mno kulinganisha na huko mikoani,

Hapa napata sababu ya kusema Wanaume wa Dar ni Imara katika ku-handle ishu za Mahusiano ukilinganisha na wanaume wa mikoani, kwa sababu siamin kama wanawake wa Dar ni perfect kwenye mahusiano kihivyoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar tupo 50,50 tu akizingua unapiga chini unavuta mzigo mwingine tena mzigo mpya unavyokuwaga mtamu we acha tu sijiui hata siku moja kwa ajili ya mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa Dar wengi wao wanalelewa yaani marioooo, sasa watajiua vipi??? mkoani penzi ni penzi kweli sio wizi wizi kama Dar.
 
Write your
...
Sasa wanaume wa dar c nikama wanawake tu cyo kwa hayo makalio walio nayo
 
Tatizo la mkoani kwanza mademu ni wachache yani ukimuona wewe leo kuna wengine kama 20 mtaa wa pili wanamtolea macho sasa unakuta kidume akijitutumua akimpata anajiona ana bahati sana hivyo kuleta shida endapo ataacha au atagongewa Dar madem wapo kibao mtaani fullu machura, vichuchu konzi, mixa ma G-string na underwear kuonekana hivyo humfanya mtu kuchukulia madem issue ya kawaida...
 
Back
Top Bottom