PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
So, nilikuwa zangu safari (ya kikazi hivi) pori flani kwene mgodi (sifanyi kazi na madini wala migodi, just ulikuepo tu). Nimepiga kazi hapo kama wiki hivi kwa masaa kama 14 ya siku. Jioni naenda zangu rum nalala. Weekend pakawa kama na sherehe lakini ikafanyika hotel moja kati. Sasa palikuwa na mhudumu mmoja mkali balaa (ndo nlivyomuona). Fasta nikaomba namba maana alikua bize kidizain. Nliporudi rum nikamcheki. Akasema ndo anataka kwenda home ila hana nauli, anamsubiri meneja/dreva ampitishe. Nikamwambia si tabu ntakupeleka. Nikampeleka tukaongea tukakubaliana.
Wiki nyingine kukameet, hatukutekeleza makubaliano lakini uzinguz tu 🙂 . Kwanza niseme tu huwa sioni shida mwanamke kuomba basic things kama vocha, nauli, hela ya chakula, kuongezewa kodi (za vyumba sio nyumba) n.k
Ila huyu kiboko. Yani alitransfer mzigo wa shida kama wote kdadeki!!! sasa nikaanza kunegotiate. Nilipie shida nazomudu kwanza kidogo kisha ndo atakua comfortable kunipea (Hapo nawaza akitekeleza tu mi nduki. Niwaachie wenzangu wanaoweza kuhangaika na mzigo wa shida). Sasa kila nikitekeleza moja logik ya maisha + malalamiko yake inanisukuma nitekeleze na inayofuata. Maanake huezi mpa nauli ya kwenda hospital bila hela ya kutibiwa. Yani unawaza aliishije ukiwa hupo.
Huezi amini chain ya matukio ilinishinda had nikaachia ngazi bila bila!
Mwishoni mwa safari ya kurudi ndo nakaribia nyumbani. Akanipigia ananiambia nmekumiss leo njoo nakupa mambo (Hapo alkua ananizungusha kinoma). Nilicheka sana yani jinsi kisicho rizki kisivyolika, nikamwambi leo naenda meet na maza haus - mahaba kama yote tena bure kabisa! nikakata zangu simu dah!
Naamini wengi hapa tumesha bwaga lakini hatuezi kiri, Ijumaa karim