Ni vitu gani muhimu ambavo unatakiwa kuwa navo katika safari ya south Africa

kelvinlewis

JF-Expert Member
Jan 8, 2018
308
205
Nahitaji kujuwa vitu muhimu ambavo ukiwa navo uwez sumbuliwa katika mipaka ya nchi wakati was safari ya kwenda south Africa mwenye kujuwa juu ya ili msaada tafadhali, na wale pia waongea shombo kwenye theard za watu pia unaweza changia chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Passport, yellow fever vaccination na hela ya kuhonga mpaka wa Tunduma, Chilundu na Beitbridge.
 
South hapana complication sana maana hawahitaji Visa
Kata tiket yako vzr na uwe na pasport yako
Kule kama unaenda misele tu kuna apartment unapangisha 5days kwa kama laki 8 ya kibongo
Misele midogo midogo haina gharama
 
Condoms, a lot of condoms, South Africa is one of the countries in Africa with a very high HIV prevalence rate.
 
South hapana complication sana maana hawahitaji Visa
Kata tiket yako vzr na uwe na pasport yako
Kule kama unaenda misele tu kuna apartment unapangisha 5days kwa kama laki 8 ya kibongo
Misele midogo midogo haina gharama
Mbona ghali sana? Zaidi ya 150k kwa cku? Inazidi Dubai?
 
Back
Top Bottom