Zijue dalili Kuu Saba ( 7 ) kwamba kwa 100% Mkeo au Mpenzi wako tayari ' ameshakutengeneza ' kwa Mganga wa Miti Shamba

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
1. Unakaribisha sana Ndugu zake Kwako kuliko Ndugu zako
2. Ukiwa unakaribia kurudi Kwako Kwanza unajificha mahala Kufuta Meseji zako zote
3. Mkiwa mmelala Kitandani humuombi Penzi hadi aamue Yeye au Ujichekesha chekesha Kwanza huku ukitia huruma kama Nyani / Ngedere anayetaka Kupigwa / Kuuliwa
4. Ukiwa unaongea na Ndugu zako wa Damu kwa Simu huwa unakuwa Mkali Kwao na unawakaripia
5. Unaogopa Kushika Simu yake na hata ikiwa inaita huwa unaichukua na kumpelekea alipo
6. Kila unachofanya lazima tu umwambie / umshirikishe hata kama havina maana
7. Anakupangia Matumizi yako hasa hasa Pesa za Kusaidia Kwenu kwa Wazazi na Ndugu zako

Zikikuhusu pole sana na usione pia aibu Kunishirikisha GENTAMYCINE ili nikupe dawa ya Kuzikomesha bila wasiwasi.

Nawasilisha.
 
Jiwe gizani..ngoja wadau wajitathmini..ila kuna kasauti kanasema "si ndio mapenzi bwana sipangiwi" kumbe tayari
 
1. Unakaribisha sana Ndugu zake Kwako kuliko Ndugu zako
2. Ukiwa unakaribia kurudi Kwako Kwanza unajificha mahala Kufuta Meseji zako zote
3. Mkiwa mmelala Kitandani humuombi Penzi hadi aamue Yeye au Ujichekesha chekesha Kwanza huku ukitia huruma kama Nyani / Ngedere anayetaka Kupigwa / Kuuliwa
4. Ukiwa unaongea na Ndugu zako wa Damu kwa Simu huwa unakuwa Mkali Kwao na unawakaripia
5. Unaogopa Kushika Simu yake na hata ikiwa inaita huwa unaichukua na kumpelekea alipo
6. Kila unachofanya lazima tu umwambie / umshirikishe hata kama havina maana
7. Anakupangia Matumizi yako hasa hasa Pesa za Kusaidia Kwenu kwa Wazazi na Ndugu zako

Zikikuhusu pole sana na usione pia aibu Kunishirikisha GENTAMYCINE ili nikupe dawa ya Kuzikomesha bila wasiwasi.

Nawasilisha.
Kaka yangu kafanyiwa hivyo ila demu mwenyewe alipomchuna kabisa kabaki hana kitu kabisa kaenda kuolewa na mtu mwingine.
 
1. Unakaribisha sana Ndugu zake Kwako kuliko Ndugu zako
2. Ukiwa unakaribia kurudi Kwako Kwanza unajificha mahala Kufuta Meseji zako zote
3. Mkiwa mmelala Kitandani humuombi Penzi hadi aamue Yeye au Ujichekesha chekesha Kwanza huku ukitia huruma kama Nyani / Ngedere anayetaka Kupigwa / Kuuliwa
4. Ukiwa unaongea na Ndugu zako wa Damu kwa Simu huwa unakuwa Mkali Kwao na unawakaripia
5. Unaogopa Kushika Simu yake na hata ikiwa inaita huwa unaichukua na kumpelekea alipo
6. Kila unachofanya lazima tu umwambie / umshirikishe hata kama havina maana
7. Anakupangia Matumizi yako hasa hasa Pesa za Kusaidia Kwenu kwa Wazazi na Ndugu zako

Zikikuhusu pole sana na usione pia aibu Kunishirikisha GENTAMYCINE ili nikupe dawa ya Kuzikomesha bila wasiwasi.

Nawasilisha.
Hakuna dhambi kubwa kama hiyo!

Mtu akijishuku tu basi dhambi zote zako.

Hivi huwa mnafikiri kabla ya kuleta hizi mada za kijingajinga?
 
Upuuuz mtupu

Nafurahi sana kukuona kila Uzi ninaounzisha hapa JF hukosi Kuuchangia kwa Kunikejeli ila hapo hapo huwa unakereka nami sasa najiuliza kama tayari ' ID ' hii inakukera ni kwanini unapenda Kuifuatilia na Kuhangaika nayo? Kwani kama unanipenda na pengine unataka nawe ' nikutambalizie ' kunako ' Unyabeni ' si useme tu kuliko Kuteseka hivi na ' Mwanamume ' GENTAMYCINE?
 
Namba 5 umechemka unaanzaje kupokea simu ya mkeo?. Japo kwa point nyingine Kuna ukweli mkubwa. Hasa wanaooa wanawake waliowazidi umri hii lapsha lazima wakumbane nayo hasa ya kunyimwa unyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom