J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,209
Hamjambo wakuu,
Nyie mnawaida wabaya ila mi kwangu hakuna mwanamke mbaya ,
Kwanza ni wachapakazi wazuri sana,
Ni waaminifu sana kwenye suala la ndoa,
Hawana madharau hata kidogo,
Wanajua kulea watoto vizuri sana ,
Ukimfungulia biashara ,hiyo biashara lazima iwe na faida,
Mungu bariki hawa viumbe wako,maana najua uumbaji wako ulikamilika kwao tena kwa faida kubwa sana,
Ni hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app