Hii ndo raha ya kuoa Meru

Hii ndo raha ya kuoa Meru

Incoming call

Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
24
Reaction score
7
Wameru ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa ukarimu na utoaji hasa zawadi wakati mtoto wao anapoowa au anapoolewa

Yani wewe ukiowa mmeru unashauriwa usinunue chochote hata kijiko mana kwa hakika utapata kila furniture na chombo kinachoitajika ndani ya nyumba kuanzia sofa, kabati la nguo, vyombo, meza ya chakula meza ya kawaida, vyombo tv, na kila kitu unachohitaji ndani ya nyumba.

Yaani hili kabila ni shida,
Zawadi pia zinakuwa nyingi hasa wanapoowana wao kwa wao mana upande wa kijana huzawadi na wa msichana hivyo hivyo.

Hebu jionee hii

Je utamaduni huu unafaa kuigwa au umepitwa na wakati!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawapendi ujinga.... kama wewe ni mjinga mjinga basii uta teseka... utapata tabu
 
Write your reply...wanapenda ubabe Sana wanatabia ya kutaka kumtawala mwanaume

...nnare kisalii (ngakisalii)

sent by my TECNO AMBER RUTTY AG 7 using jamiiforums
 
Wameru ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa ukarimu na utoaji hasa zawadi wakati mtoto wao anapoowa au anapoolewa

Yani wewe ukiowa mmeru unashauriwa usinunue chochote hata kijiko mana kwa hakika utapata kila furniture na chombo kinachoitajika ndani ya nyumba kuanzia sofa, kabati la nguo, vyombo, meza ya chakula meza ya kawaida, vyombo tv, na kila kitu unachohitaji ndani ya nyumba.

Yaani hili kabila ni shida,
Zawadi pia zinakuwa nyingi hasa wanapoowana wao kwa wao mana upande wa kijana huzawadi na wa msichana hivyo hivyo.

Hebu jionee hii

Je utamaduni huu unafaa kuigwa au umepitwa na wakati!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni habari njema kwa wapenda dezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom