Nina digrii moja ila sitaki kuoa mwenye digrii atanisumbua sana

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu Kuna kasumba 1 tunayo vijana ama wanaume, kwa wale waliosoma hawataki kuoa waliosoma wenzao Maana mtiti wake kwenye ndoa sio wa nchi hii.

Nami bora nijitenge mapema kabla sijaingia mkenge naoa zangu certificate na simuendelezi hapo panatosha.. Asije nifanya kama Mugabe mwaka juzi November wanawake hawa sio watu wazuri ukiwainua.

Baki ndani wewe mke ni wa kunilelea watoto na si kuchelewa kurudi nyumbani eti nimetoka kazini..

Majukumu yote ya kumhudumia Familia ni yangu..

Karibuni kwa wale wanaounga hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enyi wake zetu mkiwa kwenye period acheni Kua na kiburi - JamiiForums

Wololo. Hako ka degree uchwara hata hakajakukusaidia kupanua uwezo wako wa kufikiri. Hata huelewi mabadiliko wanawake wanayopitia wakiwa katika hali zao za kila mwezi.

Turudi kwenye hii mada.

Ngoja nikusaidie, oa mwanamke ambae hajasoma kabisa wala hajui umuhimu wa shule afu uje ufurahi atakavyowalea wanao.

Kusoma kwako hako kadegree, bado unamuogopa mwanamke aliesoma sababu anajua haki zake kwanza hutampelekesha ovyo. Unasahau anavyozidi kusoma akili yake itafunguka na mtaweza kushirikiana katika mipango ya kimaisha. Hata Mungu akikuchukua ataweza kuendeleza familia kwa kipato chake ama kwa miradi itakavyokuwa nayo.

Idiot.
 
Back
Top Bottom